01/07/2025
Mwenza wako amejua k**a umemchiti, baada ya kumuomba msamahaa unatarajia mambo yatakuwa k**a zamani mmmh ndugu yangu kuanzia hapo ndio mambo aya kadhaa yatazaliwa: 1) kutokuaminiana 2)kuzalauliana 3)kujibizana kila Mara 4) ata k**a utaenda msibani kuzika mwenzio atakuhisi umetoka kuonana Na mchepuko 5)mtaanza kupuuziana 6) usiri kati yenu 7)upendo kupungua namengine mengi. Nb: ukishaingia katika mahusiano fanya makosa yote utasamehewa ila epuka kumsaliti mwenza wako. Usaliti ndio kitu pekee kikubwa kinaumiza hisia kwa haraka kuliko hata kidonda. ASANTE.