03/10/2016
Habari wadau wetu wa smartbay africa, tunapenda kushukuru kwanza kwa kuonyesha mnafatilia page yetu, lakini pia kwa kuonyesha nia ya kuhitaji bidhaa zetu, kwanza napenda kuwatoa mashaka kuwa sisi si matapeli k**a baadhi ya wadau wengine wanavyo sema ni muhimu kujenga tabia ya majadiliano ila si kushutumu kwenye mambo ambayo huna uhakika nayo, hivyo kwa yoyote ambaye ana hitaji bidhaa toka kwetu tunapenda kumjulisha kuwa atapata sehemu yoyote alipo
Smartbay africa tupo sokoni takribani miaka miwili sasa na tumekuwa tunatoa huduma kwa wateja wetu wa bidhaa mbali mbali, tuna fahamu hivi sasa swala la uwaminifu ni dogo sana na ndio maana tunajitahidi kuomba kwa wale wateja wetu wa dar au ambao wamesha fanya biashara na sisi kutoa ushuhuda kuhusu huduma zetu na mliyopo dar mfike kwenye ofisi zetu hapa kariakoo mtaa wa tandamti.
Pia smartbay africa tunakaribisha kwa wewe mtu wa mkoani kujadili namna bora ya kupata bidhaa zetu na pia k**a wataka kuwa wakala wetu kwenye maeneo ambayo hatujapata wakala, karibuni sana Smartbay africa