Mbinu za kutajirika

Mbinu za kutajirika Karibu tujifunze mbinu mbalimbali za kukuza, mitaji, biashara na mitandao ya watu au masoko.

08/08/2025

CHUKUA TAHADHARI KWA WATU WANAOTAKA KUUA NDOTO ZAKO.
Watu wanaweza kuhatarisha ndoto hukwambia yafuatayo:
1. Huwezi kufanya hiki au kile.
2. Huwezi kufanikiwa.
3. Hii ni ngumu. Hivi unafahamu ni watu wangapi walijaribu wakashindwa?
4. Sasa wewe kwa uwezo wako huo utaweza kutekeleza hilo wazo?
5. K**a hilo ni wazo zuri, je ulishawahiona mtu yeyote akifanya hiki kitu?
6. Ooooh! Hiki kitu nilishakijaribu sana miaka ya nyuma, ngoja Sasa nikwambie kwa nilishindwa.

Watu wengi wanaoua ndoto za watu wengine ni wale ambao wao walishindwa na wamekata tamaa.

31/05/2025

Moja kati ya makosa unayoweza kufanya na kukuchelewesha kuingia kwenye mafanikio ni kutokujilipa kwanza. Katika kazi zako, biashara zako na mapato yako HAKIKISHA UNAJILIPA KWANZA.

18/04/2025
15/04/2025

1. Skills to make money
2. Skills to manage money
3. Skills to keep money
4. Skills to multiply money.
These are four skills you need to succeed.

07/04/2025

Hatua 7 Za Kufuata Ili Kupata Uhuru Wa Kifedha...

i. Dependency level (Hatua ya Utegemezi)

ii. Solvency Level ( Kipato kinalingana na matumizi yako)

iii. Stability Level (Umeanza kuyamudu Maisha)

iv. Security level (Umevuka mstari wa hatari wa kifedha)

v. Independent Level (Hatua ya Kujitegemea kifedha)

vi. Financial Freedom (Uhuru wa kifedha)

vii. Abundance Level (Wakati wa Utele)

Katika Makala Hii Tutazungumzia Hatua ya Kwanza

- Dependency Level ( Hatua Ya Utegemezi)

Hatua hii ni pale ambapo mtu anakuwa hana chanzo chake mwenyewe cha kipato.

Katika hatua hii, mtu huwa anategemea wazazi, marafiki au mwenzi ili aweze kumsaidia kukidhi mahitaji yake ya kila siku.

Kwenye hatua hii, hakuna kitu chochote ambacho mtu anakifanya kitakachomsaidia kutengeneza thamani ambayo watu watakuwa tayari kumlipa.

K**a unataka Kujifunza Zaidi Mbinu Za ELIMU FEDHA, Nashauri Usome eBook yangu ya MONEY FORMULA

Thamani ya eBook hii ni zaidi ya Tsh 30,000.00

Ila k**a utakuwa kati ya watu 5 wa kwanza kulipia, utalipia Tsh 3,000 Tu! (Okoa Tsh 27,000.00 nzima)

NB: Ofa Hii Inaisha LEO Saa 5:59 Usiku.

Na Ukiikosa Hii OFA, Itakubidi USUBIRI Mpaka Baada Ya Miezi Miwili.

Na k**a utakuwa kati ya watu 2 wa kwanza nitakupa BONUS ya...

eBOOK Yangu Ya Mbinu Za Kuongeza KIPATO Chako, BILA MALIPO (Thamani yake ni Tsh 30,000.00)

Na kwakuwa nina uhakika kuwa eBooks hizi utazipenda nakupa 7 Days Money Back Guarantee.

Lipia, zisome, k**a hautazipenda nijulishe kupitia WhatsApp 0762 312 117 nitakurudishia pesa yote uliyolipia na eBooks utabaki nazo.

Kupata Ofa Hii

Tuma Tsh 3,000 Tu!

Kwenda M-PESA

0762 312 117 (Joel Nanauka)

Kisha tuma Uthibitisho Wa Muamala na neno "MONEY FORMULA"

kwenda WhatsApp 0762 312 117.

Kisha ndani ya dakika 2 utatumiwa eBooks

P.S Ukipoteza eBooks Utatumiwa Tena BURE.

07/04/2025

Makundi ya 3 ya watu.
1. MASKINI. Hawa ni watu ambao wanaitumia sehemu kubwa ya vipato vyao kwenye matumizi tu ya kila siku.
2. WATU WA KAWAIDA - wenye uchumi wa kati hutumia sehemu kubwa ya vipato vyao kuweka akiba.
3. MATAJIRI. Kundi hili ni la wale watu ambao hutumia sehemu kubwa ya vipato vyao kwa ajili ya kuwekeza.
Jiulize ukipata pesa huwa unazifanyia nini? Unazielekeza wapi?

23/02/2025

WISDOM FROM RICH DAD.

From the book Rich DAD Poor DAD,
by Robert Kiyosaki

1. Don’t work for money:

Rich don’t work for money. If you work for money, your mind will start thinking like an employee. If you start thinking differently like a rich man, you will see things differently. Rich works on their asset column, every dollar in their asset column is their hard-working employee.

2. Don’t be controlled by emotions:

Some people’s lives are always controlled by the two emotions of fear and greed. Fear keeps people in this trap of working hard, earning money, working hard, earning money, and hoping that it will reduce their fear. Secondly, most of us have the greed to get rich quickly. Yes, many people become rich overnight, but they have no financial education. So educate yourself and don’t be greedy or fearful.

3. Acquire assets:

Don’t buy liabilities on your way to financial freedom. People buy liabilities and think these are assets, but they are not. Many people buy luxuries first, like big cars, heavy bikes, or big houses to live in. But the rich buy assets and their assets buy luxuries. The rich buy houses and rent them, and they pay them for their Lamborghinis. The poor or middle class buy luxuries first, and the rich buy luxuries last.

4. Remember the KISS principle:

KISS stands for keeping it simple, and stupid. Don’t be too overloaded your mind when you are going to start your way to financial freedom. Things are simple and keep them simple. The simple thing to remember is assets put money in pocket and liabilities take money out of pocket. Always buy assets so they put money into your pocket.

5. Know the difference between assets and liabilities:

Assets are anything that puts money in your pocket, like stocks, bonds, real estate, mutual funds, rental properties, etc. Liabilities are anything that pulls money out of your pocket, like your house, your car, debt, etc. People think their home is their biggest asset, but it is not. A house is an asset

16/02/2025

Ernest MaluulaUSITAFUTE KUELEWEKA NA KILA MTU.
Katika maisha USITAFUTE kila mtu akuelewe nini unafanya na nini unataka kitokee. Unaweza kujisumbua Bure kujieleza kwa muda mrefu hakuna mtu atakuelewa. Ndoto uliyo nayo ni yako pekee yako. Sio ya baba yako, mama yako, mjomba, shangazi, mtoto, mwalimu wako, mume au mke wako. Sio ya Askofu, sio ya mchungaji wako Wala mtu yeyote. Hiyo ni ndoto yako mwenyewe ukitafuta KUELEWEKA hutofika nakwambia. SIKILIZA: Yusufu hakueleweka na ndugu zake, Musa hakueleweka na Wana wa Israeli, Manabii wa kale hawakueleweka na watu. Yesu Kristo hakueleweka na viongozi wengine wengi hawakueleweka na watu wao. Wewe ni nani ueleweke mapema hivo? Just focus on your dream. Fanya kuleta matokeo ili kuwanyamazisha midomo. Mwanadamu kapewa mdogo anaweza kusema lolote analoona yeye ni sahihi. Lakini kwa watu ambao Mungu amewapa ndoto kubwa hawayumbishwi na maneno. Huwezi kuwazuia watu kukukosoa, huwezi kuzuia watu kukutukana, huwezi kuziba midomo ya watu kwa midomo yako. Bali wewe mwana wa Mungu wazibe watu kwa matokeo ya kushangaza mpaka waseme hakika huyu yupo na Mungu. Acha wao wakuthibitishe kuwa Mungu Yuko upande wako, usilazimishe miujiza. God bless you. Heri ya maandalizi ya sikikuu za Krismasi na Mwaka mpya.

08/02/2025

Ili ufanikiwe unapaswa ufanye yafuatayo:
1. Uwe na vyanzo vingi vya mapato
2. Usitegemee mshahara wako
3. Usitegemee ahadi za watu
4. Tafuta kitu Cha kukuingizia pesa kila siku

27/01/2025

Igawe pesa yako katika maeneo matatu muhimu.
1. Weka AKIBA
2. Wekeza
3. Matumizi

Address

Mbezi Beach DSM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbinu za kutajirika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category