VijanaTanzania

VijanaTanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VijanaTanzania, Shopping & retail, Dar es Salaam.

  nani k**a  .
04/12/2025

nani k**a .

 ....
03/12/2025

....

06/09/2018
19/09/2017
18/09/2017

Wabunge watatu wa Tanzania, Zitto Kabwe wa Kigoma mjini Godbless Lema wa Arusha Mjini na Mchungaji Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini wanadai kwamba Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai anaendeshwa na Serikali ya Rais John Magufuli, madai hayo yameibua cheche mitandaoni. Mchora Katuni Said Michael, kaitoa taswira hiyo, wewe waonaje?

09/09/2017

*umeona faida ya kuwa mnene? unapigwa risasi 5 halafu unakua majeruhi tu. Sio nyie vimbaombao mnashinda gym na kula apples na maji ya kuchemsha. Endeleeni tu kujimodoa, ukipigwa hata jiwe la tumbo unakufa*

C&P

04/09/2017

Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Kenya imetangaza kwamba uchaguzi mpya wa urais nchini humo utafanyika tarehe 17 Oktoba.

04/09/2017

Kitendo cha Mahak**a kuu nchini Kenya Ijumaa iliopita kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8 mwaka huu, kiliwashangaza wengi. Jaji Mkuu wa nchi hiyo, David Maraga aliudhihirishia ulimwengu kuwa kuna uhuru wa mahak**a katika bara la Afrika ambako aghalabu majaji wanaonekana kutetea walio madarakani. Lakini kwa wanaomfahamu vizuri Jaji huyo, hawakushangazwa na uamuzi wake.Zaidi sikiliza matangazo yetu ya jioni hii.

04/09/2017

Kiongozi wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi amerejea nchini humo siku baada ya ziara nchi za Ulaya. Tshisekedi mtoto wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe Etienne Tsisekedi na aliyefariki dunia nchini Ubelgiji februari mwaka huu, aliwasili katika uwanja wa ndege wa Ndjili mjini Kinshasa na kupokewa kwa kwa maandamano ya wafuasi wake ambayo hata hivyo yalisambaratishwa na polisi na baadhi ya kuk**atwa . Wanaharakati wanne pia walik**atwa katika eneo la Limete, karibu na Kinshasa ambako kunapatikana makaazi ya Tshisekedi wakati polisi walipojaribu kuzima kile walichokiita kuwa maandamano haramu wakitumia mabomu ya machozi.Kurejea kwake kunakuja katika wakati ambao bado serikali haijatangaza tarehe ya uchaguzi kukibakiwa miezi kadhaa kabla ya muda wa rais Joseph Kabila kumalizika. Sikiliza matangazo yetu ya leo jioni ambapo Lilian Mtono amezungumza na msemaji wa chama cha upinzani cha Tshisekedi UDPS Valentin Mubake .

04/09/2017

Mahak**a ya juu nchini Kenya inaendelea kugonga vichwa vya habari: Viongozi wa vyama vya upinzani barani Afrika ambao wamekuwa wakijaribu kuziondoa serikali zilizoko madarakani barani humo wamesifia hatua ya mahak**a ya juu nchini Kenya kutengua matokeo ya urais ya uchaguzi uliofanyika August 8, mwaka huu wakisema ni mfano wa kuigwa na mataifa yao. Isaac Gamba atawaletea zaidi katika matangazo ya mchana huu.http://p.dw.com/p/2jJZY

Address

Dar Es Salaam
BOKO

Telephone

0786235431

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VijanaTanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to VijanaTanzania:

Shortcuts

Share