Tausally Shop

Tausally Shop A one stop shop for all your electronic money transfer, dstv, etc

Tuchukue Tahadhari na ugonjwa wa corona kwa kupunguza matumizi ya Cash na kufanya manunuzi kwa njia za ki electronic, Ka...
14/04/2020

Tuchukue Tahadhari na ugonjwa wa corona kwa kupunguza matumizi ya Cash na kufanya manunuzi kwa njia za ki electronic, Karibu Tausally tukuhudumie.

Mazoez ni upendo na furaha!! Kupitia mazoez tunaweza pata bahat ya kuonana na viongoz wetu na kushikana mikono!! Upendo ...
24/06/2019

Mazoez ni upendo na furaha!! Kupitia mazoez tunaweza pata bahat ya kuonana na viongoz wetu na kushikana mikono!! Upendo ulioje huu kwa nchi yetu!?! Nakupenda Tanzania naomba aman idumu vizazi na vizaz !! Amin!! Km mkuu wa usalama anafanya mazoez wewe usijiunge nas kufanya mazoez? Tuwe natamadun za kufanya mazoez tusisubiri kuumwa!

27/08/2018

jion njema wadau.

23/06/2018

Ni w end nyingine tena tumshukuru sana M.Mungu kwa afya! ukitaka kujua thaman ya afya nenda hospital uwaone wagonjwa waliolala vitandan kwa mtihan wa maradhi na kuondokewa na neema ya afya!! tujitaid kutumia vzr neema ya uzima kwa kufanya ibada maana kuna muda utataman kufanya ibada ila hutoweza! tuwe na siku ya Ibada!!. w end njema

15/05/2018

Tausally inawatakia mfungo mwema wa Ramadhan na kumuomba Allah atufikishe na kutujaaliya kuwa na afya njema ili kuiendea ibada hii adhimu na adimu na tuzidishe mema na kumuomba Allah atusamehe madhambi yetu na wazazi wetu waliotangulia na walio hai!!

15/05/2018

"MTU YULE NI TAJIRI KULIKO MIMI"

Na malisa GJ

Siku moja tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi duniani. Akajibu kuwa hadhani k**a yeye ni tajiri namba moja. Akaulizwa anadhani kuna mtu anamzidi? Akajibu "Nadhani yupo mmoja" Akaulizwa ni nani?

Akasema "Nilipokuwa shuleni sikuwa na fedha. Kuna wakati nilienda kwenye "vijiwe" vya kuuza magazeti ili nisome tu japo vichwa vya habari. Kijana mmoja mweusi (black American) ambaye alikua ombaomba eneo lile aliniona Alijua nilihitaji gazeti lakini sikuwa na uwezo wa kununua. Akatoa kiasi cha pesa katika zile alizokuwa akiombaomba akaninunulia gazeti. Nilijaribu kukataa kwa sababu nilijua anaweza kulala njaa kwa sababu yangu, lakini alinisihi nichukue...
..Siku nyingine tena nilienda kijiwe kile na sikuwa na fedha. Sikutaka mtu yule anione. Hivyo nikapitia vichwa vya habari kimyakimya, na wakati naondoka nikaletewa gazeti, nimelipiwa na yule ombaomba. Akanitizama, akafurahi. Nikamtazama. Nikalia. Nikaondoka"

Mwandishi akamuuliza sasa huyo awezaye kuwa tajiri kuliko wewe wakati umesema ni ombaomba? Bill Gates akasema "mtu yule alitoa hata kile kidogo alichokuwa nacho ili kunisaidia. Hakujali kuwa anaweza kulala njaa, kukosa malazi, kukosa mavazi, hakujali kupoteza akiba yake yote ndogo aliyokuwa nayo ili kunisaidia. Nadhani mtu yule ni tajiri kuliko mimi."

Mwandishi akamuuliza, kwanini usimtafute umlipe? Bill akajibu. Nimeshamtafuta, nimemnunulia nyumba, na kumpa dola milioni moja (k**a bilioni mbili za kibongo), lakini sijaweza kulipa hata robo ya alichonipa. Mwandishi akamuuliza kwanini? Bill akajibu "kwa sababu mimi nimetoa sehemu ndogo katika kikubwa nilichonacho, lakini yeye alitoa sehemu yote katika kidogo alichokuwa nacho. Nadhani mtu yule ni tajiri kuliko mimi"

Umejifunza nini?

usiweze kulipia bill ya maji tutafute tukusaidie!!!
13/05/2018

usiweze kulipia bill ya maji tutafute tukusaidie!!!

Ukarimu ni sadakah! Tujenge upendo wa dhati !!!!
13/05/2018

Ukarimu ni sadakah! Tujenge upendo wa dhati !!!!

13/05/2018

.......Assalaam Alaikum Warahmatu Llahi Wabarakaatuh
......Vipi Hali Yako na Familia
........Nawaombea Uzima, Afya, Kheri, Barka Pamoja na Mafanikio Mema Duniani na Akhera
......... Allah Atufikishe na Tuupokee Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Hali Akiwa Radhi Nasi
.......Allah Azipokee na Azitakabalie Swala, Ibada, Saumu na Dua Zetu Zote Katika Mwezi Mtukufu Uliojawa na Wingi wa Rehma, Maghfira na Atuepushe na Adhabu ya Moto
............Allah Awajaalie Afuu, Uzima na Afya Wagonjwa Wetu
...............Awafanyie Wepesi Kwa Kila Mazito Yao
..........Allah Awasamehe, Awarehemu na Kuwahifadhi Pahali Pema Peponi Wazazi, Ndugu na Waislamu Wote Walio Tangulia Mbele Ya Haki
.........Awajaalie Kaburi Zao ni Bustani Katika Mabustani za Peponi
..........Allah Atufikishe Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan Kwa Wingi wa Uzima, Afya, Kheri na Barka
......... Nami Nawaomba Mnisamehe Ikiwa Nimewakosea au Kuwaudhi Kwa Lolote Ikiwa ni Kwa Siri au Dhahiri Kwa Kukusudia au Kutokusudia
.........Baaraka Allah Fiykum Fii Dunia wal Akhera

Aamiin Thumma Aamiin
Yaa Rabbal Aalamiin

Asubuhi Njema

13/05/2018

Today quotes! Goodmorning all

Karibu tausally tukuhudumie!!
13/05/2018

Karibu tausally tukuhudumie!!

Address

Quality Plaza
Dar Es Salam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 14:00

Telephone

+255713308325

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tausally Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share