Tiba Zakissuna

Tiba Zakissuna Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba Zakissuna, Religious Bookstore, goba, Dar es Salam.

30/10/2023
25/09/2023

*MGOMBA*
Mti wa mgomba ni moja ya miti mashuhuri sana, na yenye kupendeza k**a urembo wa bustani, pia ni k**a chakula cha kitamaduni.
Ambapo mti huu huzaa matunda yaitwayo ndizi (vitika)
Lakini pamoja na mti huu wa mgomba kuwa na faida kwa zao la ndizi, ambazo ni matunda yenye vitutubisho vingi kwa wanaadam, lakini pia mti huu zaidi ya miti.

*MGOMBA KATIKA MAISHA*
Tamaduni nyingi ya makabila mbali mbali hutumia MGOMBA kwa ajili ya matambiko, kwa aina ya ndizi k**a hilalii kwa Wachaga au Ndyari kwa watu wa Mbeya na baadhi ya makabila wana majina tofauti, na miye si mtaalamu wa makabila ya watu, nisisumbuliwe katika hili.

*MGOMBA KATIKA UCHAWI*

Mgomba katika uchawi, hutumika sana kufanyia mazingaimbwe kwa ajili ya kutengeneza vifo bandia, k**a vile kufanya misukule, au kutengenezea matego mbali mbali, pamoja na kuulia uzazi kwa watoto wa familia za kichawi.

*pia kuna migomba k**a vile aina ya ndizi Kisukari (wanyakyusa huita kipukusya* hutumika kutengeneza laana ya ukoo, kwa kutengeneza vifo vya watu mfuatano na hii huwa k**a tego la wizi au magomvi ya kiukoo.

*Mgomba katika tiba*
Mgomba katika tiba, unaweza usiamini maajabu na miujiza yake.
Hutumika kuzuia mtu asifanywe msukule, kuficha kivuli au kupoteza msukule, ili wachawi wakose na wafiwa wakose.
Mgomba hutumika lile toto la ndizi kutibu mtoto wa jicho, iwapo ni macho ya kichawi ambayo wachawi humuathiri mtu aitwaye ngao (mada pana tosheka), wakati mizizi ya mgomba hutumika kuondoa nuksi na mikosi sugu itokanayo na majini aina ghuli iwapo walichukua kimvuli cha muhusika na eidha kukificha, kukizika, au walikiweka chooni. (Utajuaje mahala kilipo kikimvuli na kukirudisha)? Mtu huyo ana alama usoni, sinto zitaja kwa sababu kuna watu hupenda kuvamia tiba bila elimu, hii inabakia siri ya Mwalimu.
Na hizo alama husomesha k**a kimvuli kimefungwa, kimefichwa, kimezikwa au kinafanyiwa nini.

Ila dalili za mtu aliye chukuliwa kimvuli ni hizi ;-
A. Kukazwa misuli ya shingo, k**a mpungufu wa maji mwilini
B. Moyo unapeperuka k**a pressure muda wote
C. Kupoteza kumbu kumbu ya kitu
D. Kuwa mpweke wa nafsi, na kuhisi kupitiwa na kivuli cha mtu
E. Kuwa mfano wa zezeta, na kushindwa kuendana na kasi ya mzungumzo
F. Kuota unasafiri au kufatwa na watu wakikupeleka usiko kujua
G. Ukipata pesa inaisha kwa uovu, na kujuta kutofanya maendeleo
H. Kuwa na mawazo ya kujidhuru au kutoweka kusiko julikana
I. Mawazo na matendo k**a mtu aliye kosa radhi kiakili.
J. Kuishi kwa kuto thaminika na watu kuto jali uwepo wako

Hizi ni dalili za kimaisha, ukiacha alama za usoni zilizo katika mfumo ya mihuli ya kichawi. *khatami saahiru*
Unaweza kutibiwa bila kutumia shirki, kwa sababu tiba bila ushirikina inawezekana

Goba Mpakani
Dar es salaam
Sijibu SMS
Piga simu

24/02/2022

Address

Goba
Dar Es Salam
255

Telephone

+255713826838

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba Zakissuna posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tiba Zakissuna:

Shortcuts

Share