29/12/2023
Karibu sana utamu beach resort kufunga mwaka na kufunguwa mwaka kwa vibe na bashasha visinia adheeem na mambo mazuri ndani ya utamu beach kisiwa cha burudani
Mambo ni bam bam HATUPOI UNAKOSAJE SASA WAHI MAPEMA UTAFUTE CHIMBO LAKO LA KUFUNGULIA mwaka na mapicha ya kutosha location Za kumwaga Ni makopa kopa
Ndani ya fukwe ya Utamu Beach
06880700000