cityboys.company_ltd

cityboys.company_ltd dealers of furnitures and motorcycles
0767816000
city_boys square

🚨 WASHING MACHINE ZA KISASA🚨 Je‼️ unahitaji washing machine yenye uwezo mkubwa na utendaji wa uhakika? City boys electro...
05/07/2026

🚨 WASHING MACHINE ZA KISASA🚨

Je‼️ unahitaji washing machine yenye uwezo mkubwa na utendaji wa uhakika? City boys electronics tupo kwa ajili yako ✅

🧺 washing machine utazipata kwanzia :
✔️ 9KG
✔️ 15KG
✔️ 16KG
✔️ 20KG

🎁 BONASI YA BURE!
Kwa kila ununuzi wa washing machine, unapata sabuni ya kufulia ya kidumu cha lita 10 BURE!

✅ Huokoa muda
✅ Huokoa nguvu
✅ Hutoa usafi wa hali ya juu

📲 Wasiliana nasi kupitia NO: 0754816000

Nunua leo, furahia ofa na upeleke usafi wa nyumba yako kwenye kiwango kingine! ✨

FuaKwaUrahisi Tanzania

Tumerestock boxer 125HD‼️karibuni sana wateja🌟
04/07/2026

Tumerestock boxer 125HD‼️karibuni sana wateja🌟

🎯SINORAY Q7 (guta la kubeba mizigo lenye uwezo mkubwa).✅Engine: 250cc, silinda 1, 4-stroke, water-cooled (injini ya maji...
04/07/2026

🎯SINORAY Q7 (guta la kubeba mizigo lenye uwezo mkubwa).

✅Engine: 250cc, silinda 1, 4-stroke, water-cooled (injini ya maji).

✅Nguvu: Takribani 11.5 kW (karibu HP 15.4).

✅Torque: 17.5 Nm.

✅Gear: 5 mbele + Reverse (nyuma), kulingana na toleo.

✅Breki: Drum mbele na nyuma, nyuma ikiwa na msaada wa hydraulic.

✅Suspension: Mbele ni hydraulic yenye nguvu, nyuma ina leaf springs kwa kubeba mizigo mizito.

✅Tanki la mafuta: Lita 26.

✅Kasi ya juu: Takribani 65 km/h.

✅Uwezo wa kubeba mzigo: Hadi kg 1,500 (hutegemea sheria za barabarani na hali ya matumizi).

✅Matumizi ya mafuta: Takribani lita 1 kwa km 33.

✅Mfumo wa kudump: Lina hydraulic dump kwa kurahisisha kumwaga mchanga, kokoto, mazao na mizigo mingine.

‼️Sinoray Q7 ni guta imara linalofaa kwa biashara ya kubeba mchanga, kokoto, mazao ya shambani na mizigo mizito kwenye barabara za mjini na vijijini.‼️
Tunapatikana Independence square brbr ya 11 🌸. Kwa mawasiliano zaid tupigie 0767816000

⚡ SINORAY UMEME – Chagua Safari ya Kisasa! 🔋🏍️✅ Hakuna matumizi ya mafuta.✅ Chaji moja, safari ndefu.✅ Mwendo tulivu na ...
04/07/2026

⚡ SINORAY UMEME – Chagua Safari ya Kisasa! 🔋🏍️

✅ Hakuna matumizi ya mafuta.
✅ Chaji moja, safari ndefu.
✅ Mwendo tulivu na wa kisasa.
✅ Gharama ndogo za matengenezo.
✅ Rafiki kwa mazingira 🌍.
✅ Muundo wa kuvutia na imara kwa matumizi ya kila siku.

Tunapatikana Independence square brbr ya 11 dodoma🌸

14/05/2026
14/05/2026

“Habari njema wakazi wa Dodoma! Pikipiki za aina mbalimbali, bajaji imara na maguta ya kisasa sasa vinapatikana hapa City Boys Electronics Dodoma. Bei nafuu, ubora wa uhakika na huduma bora kwa kila mteja. Wahi sasa ujipatie chombo cha kazi au biashara yako. City Boys Electronics – tunakupa kilicho bora kwa maisha yako #

13/05/2026

🎙️ Ofisi yako bado ina viti vya zamani? 😄
Basi muda wa kubadilisha umefika! 🪑🔥
City Boys Electronics tumekuletea viti vya ofisini vya kisasa, vya executive, rotating chair na aina kibao za nguvu!
Kaa kwa comfort, fanya kazi kwa confidence 😎
Bei zetu ni rafiki na ubora ni wa uhakika.
📍 Vinapatikana sasa hapa City Boys Electronics
📞 0760665890 / 0767816000
City Boys Electronics — tunafanya office yako ionekane level nyingine✨

12/05/2026

🔥 Coffee Table za kisasa zimewasili City Boys Electronics Co Ltd – Dodoma 😍
Sebule nzuri inaanza na meza nzuri ✨
Tunazo coffee table za muundo tofauti tofauti zinazoongeza hadhi na mvuto ndani ya nyumba yako 🏠
✔️ Zenye muonekano wa kisasa
✔️ Imara na zenye ubora
✔️ Rangi na size tofauti
✔️ Bei rafiki kwa kila mteja
Usikubali sebule yako ionekane kawaida wakati unaweza kuifanya iwe ya kuvutia zaidi 😄
📞 0760665890 / 0767816000
📍 City Boys Electronics Co Ltd – Dodoma

12/05/2026

Karibu – mahali sahihi pa kupata vifaa bora vya umeme kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.
Tunapatikana na bidhaa mbalimbali zikiwemo:
🍳 Majiko ya umeme na gesi
🔥 Microwave ovens
☕ Birika za kuchemshia maji
🥤 Blender na juicers
❄️ Friji na freezer
🌬️ Feni na air coolers
🍞 Toasters na sandwich makers
🧹 Vifaa vingine vingi vya kisasa
✅ Bidhaa zenye ubora wa hali ya juu
✅ Bei nafuu na zenye ushindani
✅ Huduma bora kwa wateja
📍 Tunapatikana Dodoma 📞 0767 816 000 | 0760 665 890 | 0768 510 333
City Boys Electronics Company Ltd – Ubora wa bidhaa ni kipaumbele chetu

Address

City Boys Square
Dodoma

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:30
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when cityboys.company_ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share