TechfarmMovies Dodoma

TechfarmMovies Dodoma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TechfarmMovies Dodoma, Shopping & retail, Barabara Ya Sita, Dodoma.

06/03/2022

Ukisikia BATMAN nani anakuja kichwani kati ya hawa?

Whoโ€™s your Batman?

04/02/2022

Ila mmetupania mwaka huu ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

04/02/2022

Ila NETFLIX mmetupania sana ๐Ÿ˜ฉ

Haya bhana, let the entertainment begin! ๐Ÿ˜

04/02/2022

Whoโ€™s ready for the weekend? ๐Ÿ˜

04/02/2022

Wana nendeni gym ๐Ÿ˜ƒ

๐ŸŽžCrazy Stupid Love (2011)

03/02/2022

Movie Savage Moments ๐Ÿ˜†

Title: The Break-Up (2006)

02/02/2022

Moja kati ya movie kali sana kutoka kwa Leonardo DiCaprio, Blood Diamond (2006)

Huyu mtu alitakiwa apewe Oscar yake miaka mingi sana iliyopita. ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

Movie gani ya Leonardo unaipenda kuliko zote?

2021 ndio inaishia hiyo. Tujipange kwa mambo mazuri 2022 ๐Ÿ˜‹
01/12/2021

2021 ndio inaishia hiyo. Tujipange kwa mambo mazuri 2022 ๐Ÿ˜‹

K**a ni mpenzi wa movies za kulipiza kisasi mfano wa Wrath of Man lakini bado hujaicheki hii Peppermint ya 2018 fanya mp...
28/05/2021

K**a ni mpenzi wa movies za kulipiza kisasi mfano wa Wrath of Man lakini bado hujaicheki hii Peppermint ya 2018 fanya mpango uitizame weekend hii.

Kati ya mastar wa k**e wanaoigiza movie za action nnaowakubali sana moja wapo ni Jenifer Garner.

Kwa mara ya kwanza namuona ilikuwa kwenye TV show inaitwa Alias ilikuwa inaoneshwa M-net kitambo sana.

Story ipo straight na ni mkono mwanzo mwisho. Jenifer ni mama wa mtoto mmoja na ameolewa lakini familia yake inakuja kuuwawa na kikundi cha wauza dawa za kulevya.

Sheria inapindishwa na waliowaua wanaachiwa huru, mama anaamua kuchukua sheria mkononi.Anapotea kwa miaka k**a mi5 hivi akijifua kwenye ucommando๐Ÿ˜€

Aliporudi wale wote waliohusika, kuanzia majaji, wanasheria, polisi, na wauaji wenyewe walijua hawajua.

Its a good watch weekend hii k**a hauna mambo mengi na unataka kuchill tu home na kuejoy movie. I give it a 7/10

Kwenye Wrath of Man Jason Statham hupo zake hasira za kupitiliza baada ya mwanae pekee kuuliwa. Toshazoea Jason kuigiza ...
25/05/2021

Kwenye Wrath of Man Jason Statham hupo zake hasira za kupitiliza baada ya mwanae pekee kuuliwa.

Toshazoea Jason kuigiza roles za kibabe lakini kwenye hii aisee ni balaa zaidi๐Ÿ˜‚

Moto aliokuwa nao humu aisee hata angekuwa nani mbele yake lazma angeliwa kichwa. Dozi anayoitembeza ni mithili ya malaika wa kifo mwenyewe, Izraeli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Movie directed by Guy Ritchie na k**a ni mfuatiliaje mzuri wa movie zake basi unajua jamaa aivyokuwa na utamu wake kwenye kuhadithia hadithi kwa njia ya sinema.

Kwa mimi naweza kusema hii ni kati ya movie tamu na kali kutoka mwaka huu hadi sasa. Inastaheli heshima ya kupewa 8/10.

Ushaicheki? Je umeipenda? Movie gani unadhani kwa mwaka huu itakuwa kali zaidi ya hii..?

Address

Barabara Ya Sita
Dodoma

Telephone

0755275824

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TechfarmMovies Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share