CityMax BookShop

CityMax BookShop Fast Trust, Quality Services

18/06/2026

Je, unafanya kazi kwa bidii kila siku lakini bado huoni matokeo ya kifedha unayoyatarajia?

Je, una biashara lakini unahisi kuna kitu kinakosekana ili ifike ngazi inayofuata?

Au unatamani kujifunza namna sahihi ya kusimamia fedha, kuwekeza kwa busara na kujenga utajiri wa kudumu?

K**a jibu lako ni ndiyo, basi hii ni fursa ambayo hupaswi kuikosa.

DODOMA BUSINESS & FINANCIAL MASTERCLASS 2026

Tarehe: 27/06/2026
Mahali: Dodoma Hotel, Dodoma

Katika semina hii ya kipekee utajifunza:

✅ Jinsi ya kujenga na kuendesha biashara yenye mfumo imara unaoweza kukua na kuleta matokeo makubwa

✅ Kanuni za fedha, akiba na uwekezaji zinazotumiwa na watu wenye mafanikio makubwa kifedha

✅ Mbinu za kujenga utajiri wa muda mrefu na kuacha urithi wa mafanikio kwa vizazi vijavyo

✅ Namna ya kutambua na kutumia fursa za biashara zilizopo katika mazingira yako

✅ Mikakati ya kuongeza kipato na kufanya fedha zikufanyie kazi

Utapata nafasi ya kujifunza moja kwa moja kutoka kwa wawezeshaji wenye uzoefu mkubwa:

🎤 Cosmas Madulu
🎤 Victor Mwambene
🎤 Denis Mpagaze
🎤 Rodrick Nabe

Hii si semina ya nadharia pekee.

Ni semina ya vitendo itakayokupa maarifa, mbinu na mwelekeo wa kukusaidia kufanya maamuzi bora ya biashara na fedha kwa maisha yako.

⚠️ Nafasi za ushiriki ni chache.

Hakikisha unajisajili mapema ili usikose nafasi yako.

ADA YA USHIRIKI ni 50,000/, lipia kupitia lipa namba ya VODA 50207817 CITYMAX BOOKSHOP, kisha tuma uthibitisho wa muamala wako.

Kwa tiketi na maelezo zaidi wasiliana sasa:

📞 0756 281 556
📞 0753 690 907

*Uwekezaji bora zaidi ambao unaweza kufanya leo ni kuwekeza kwenye maarifa yatakayobadilisha maisha yako milele.*

Karibu Dodoma Business & Financial Masterclass 2026.

*Jifunze. Chukua Hatua. Badilisha Maisha Yako.*
https://www.instagram.com/reel/DZtZBR7MQcX/?igsh=enRldXNjaGYwYm83

JENGA UWEZO, ONGEZA MAPATOMpenyo wa PasakaHabari ndugu mpendwa! Umepanga kufanya nini Pasaka Holiday? Tafadhali,ninakusi...
18/04/2025

JENGA UWEZO, ONGEZA MAPATO

Mpenyo wa Pasaka

Habari ndugu mpendwa! Umepanga kufanya nini Pasaka Holiday? Tafadhali,ninakusihi utumie muda huu kujitafakari;
👉Je,nini kusudi langu la kuzaliwa?
👉Ninataka kuwa nani?
👉Je,nifanye nini ili kuongeza UFANISI, UBORA na TIJA?

Leo ningependa ku-share na wewe siri kuu 7 za Mafanikio zilizojificha katika Falsafa ya ThinkSMARRTT
🎯S-search for your PURPOSE
🎯M-maintain your DETERMINATION
🎯A-action PLAN
🎯R-rationalize (Value/Quality)
🎯R-read for Soft Skills (Soar)
🎯T-take CONTROL
🎯T-train others (legacy,reproduce,distribute).

Ninakusihi utumie Pasaka holiday kusoma kitabu cha Jenga Uwezo👆 ili kuelewa kwa kina Falsafa ya ThinkSMARRTT ili kujenga UWEZO wako, kujiongezea thamani na kuishi ndoto yako.Hakika Mafanikio ni matokeo.

Pata nakala yako leo👆 Lipia kwenda namba 0767129875(Godian Dyanka) Kisha tuma uthibitisho wa muamala ili utumiwe nakala yako.

Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida. Kuwa Mtu wa Tofauti UNAWEZA

By Godian Dyanka # (QHSE) Consultant & Author🤝

HIVI NDIVYO TULIVYO WASAIDIA WATU WENGI KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA.Naamini neno mafanikio siyo neno geni kwako na umeshaji...
06/03/2025

HIVI NDIVYO TULIVYO WASAIDIA WATU WENGI KUPATA MAFANIKIO MAKUBWA.

Naamini neno mafanikio siyo neno geni kwako na umeshajitamkia sana kuwa unahitaji kufikia mafanikio makubwa.... Lakini je, unajua siri ya kufikia mafanikio yako?
...Leo nakupa siri hii ambayo itakusaidia kufanikisha malengo na maono yako makubwa uliyonayo.

Siri hiyo ni *MAARIFA* , unapaswa kuwa na maarifa sahihi pamoja na usimamizi utakaokusaidia kujenga ujuzi na kuwa na mwendelezo wa kutafuta mafanikio unayoyahitaji.

Ili kupata mahitaji sahihi ya kufanikisha malengo yako Citymax bookshop Tanzania tuna vitabu vyenye maarifa sahihi ya kujenga uwezo wako, kubadili mtazamo wako, kujenga nidhamu ya fedha pamoja na kujenga fikra sahihi za mafanikio.

Naamini wewe ni mtu unayehitaji kufikia mafanikio makubwa na ili uweze kufanikisha hayo nakushauri uwasiliane nasi ili tukusaidie vitabu sahihi kulingana na eneo lako unalohitaji kufanikiwa.

UTAPATA FAIDA ZIFUATAZO;
1. Tutakushauri aina ya kitabu cha kusoma kulingana na eneo lako unalohitaji kufanikiwa.
2. Utapata huduma ya usimamizi ya usomaji wa vitabu kwa siku 100 hadi miaka mitatu.
3. Utapata usimamizi wa kuweka akiba kuanzia siku 100 hadi miaka mitatu.
4. Utapata ushauri na usimamizi wa biashara/kazi ili kupata mafanikio makubwa.

Tutakusaidia kupata vitabu vyote unavyohitaji vya waandishi wa ndani na nje ya Tanzania kwa lugha ya kiingereza na kiswahili.

Ili kupata manufaa haya wasiliana nasi kwa 0753690907 au 0755100502

Tunapatikana Dar es saalam, Dodoma na Iringa pia utaagiziwa popote ulipo Tanzania na nje ya nchi.

Champion wa NGUVU
16/12/2024

Champion wa NGUVU

SEMINA YA NGUVU YA MALENGO DODOMA MJINI TAREHE 21.12.2024 KATIKA UKUMBI WA CAVILAM HALL ULIOPO IRINGA ROAD.
15/12/2024

SEMINA YA NGUVU YA MALENGO DODOMA MJINI TAREHE 21.12.2024 KATIKA UKUMBI WA CAVILAM HALL ULIOPO IRINGA ROAD.

Address

321
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CityMax BookShop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CityMax BookShop:

Shortcuts

Share

Category