massawej043

massawej043 Luck Executive Homes, established in 2025, is dedicated to offering premium, contemporary

KWA MATUMIZI YA MAKAZI AU BIASHARA SQM 1280 NI UKUBWA UNAO TOSHA KUPANGILIA VIZURI UJENZI WAKO NA NYUMBA YAKO IKABAKI NA...
07/09/2026

KWA MATUMIZI YA MAKAZI AU BIASHARA SQM 1280 NI UKUBWA UNAO TOSHA KUPANGILIA VIZURI UJENZI WAKO NA NYUMBA YAKO IKABAKI NA NAFASI YA KUTOSHA KABISA🔥

Karibu Iyumbu Shule ya Mfano
Plot Size SQM 1280âś…
Ask price..
======
Unaweza kuafanya uwekezaji wa kibiashara au makazi ya kuishi

Iyumbu ipo....👇
>>Ni karibu na chuo kikuu cha UDOM.âś…
>>Pia ni karibu kabisa na Hospitali ya Benjamini Mkapa.âś…
>>KM 8 kufika mjini kati.âś…
>>Huduma za kijamii zinapatikana 24/7.âś…
>>Matumizi Makazi na Biashara

Ukiwekeza hapa unapata uarahisi wa kuyafikia
maeneo mengine muhimu k**a vile:👇
Standi kuu ya mabasi nanenane, Soko kuu la ndugai, Eneo la uwekezaji njegengwa, Kisisasa, Mahaka kuu ya Dodoma na Ofisi nyingi za umma k**a hazina kambarage nk.

UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:
🕣 Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi
hadi saa 9:30 JIONI

🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
⸻
WASILIANA NASI:

📞 0745 200 984
📞 0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

🚨NZUGUNI INAKUA KWA KASI, NJOO UWE SEHEMU YA MAENDELEO HAYA KWA KUWEKEZA HAPA BLOCK AR - ✅Ukiwekeza hapa utakuwa jirani ...
07/09/2026

🚨NZUGUNI INAKUA KWA KASI, NJOO UWE SEHEMU YA MAENDELEO HAYA KWA KUWEKEZA HAPA BLOCK AR - ✅

Ukiwekeza hapa utakuwa jirani sana
na Stendi ya Mabasi nane nane na Mji wa kiserikali Mtumba🔥
plot size: SQM 570âś…

>>Matumizi ya viwanja hivi ni makazi na Biasharađź’Ż
———
Sifa za eneo;👇
>>Kipo Kiwanja cha kwanza Barabara ya Lami Nzuguni
>>KM 3 kutoka Mtumba (Magufuli City)
>> KM 5 kutoka stendi kuu ya mabasi nane nane.
>>Huduma za kijamii zinapatikana 24/7
-—————
UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:
🕣 Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI
🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
⸻
WASILIANA NASI:
📞 0745 200 984
📞 0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini –
Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

New week new opportunity 📌
07/09/2026

New week new opportunity 📌

đź”´MAPINDUZI SOUTH - SQM 448 SOLD OUTđź””Tunampongeza Mteja wetu aliyefanikiwa kumiliki kiwanja hiki cha Mkalama na tunamtaki...
06/09/2026

đź”´MAPINDUZI SOUTH - SQM 448 SOLD OUTđź””

Tunampongeza Mteja wetu aliyefanikiwa kumiliki kiwanja hiki cha Mkalama na tunamtakia uwekezaji mwema🙏.

Kwa wateja wetu wote tunatambua mchango wenu wa thamani na Imani yenu kubwa kwetu, tunawaahidi kuendelea kuwaletea Viwanja vizuri kwaajili ya uwekezaji wenye tijađź’Ż

Hiki tayari ni Sold Out lakini katika Eneo la Mapinduzi Oysterbay bado tunavyo viwanja vingi kwaajili yako wewe mwenye nia ya kuwekeza
=======
WASILIANA NASI:
📞0745 200 984
📞0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

🗓️ BEI SIO KIKWAZO TENA ANZA NA NUSU YA BEI, SALIO LINALO BAKI UTAKAMILISHA NDANI YA MIEZI MITATU MPAKA MINNE 🔥Sokoni tu...
06/09/2026

🗓️ BEI SIO KIKWAZO TENA ANZA NA NUSU YA BEI, SALIO LINALO BAKI UTAKAMILISHA NDANI YA MIEZI MITATU MPAKA MINNE 🔥

Sokoni tumekuletea viwanja vya Gharama nafuu katika Eneo lenye Fursa na Utamiliki kwa utaratibu rahisi kabisa wa Malipo kwa awamuâś…
-——
Eneo ni VIKONJE DODOMA hapa ni
>> KM 3 kufika Chwamwino Ikulu
>> KM 2 Kufika yanapo jengwa makao makuu ya Shirika la Utangazaji Tanzania yaani TBC
>> KM 8 kufika Mtumba Magufuli City
>> KM 5 Kufika Barabara kuu ya Morogoro

-————
Utamiliki SQM 1 kwa Tsh.13,000/= tuu

Kwa Viwanja vya SQM 500 utaanza na Milioni 3,250,000/= tuu inayobaki utakamilisha ndani ya Miezi mitatu

Na kwa viwanja vya SQM 600 utaanza na Milioni 3,900,000/= tuu na inayobaki utakamilisha ndani ya miezi mitatu.

2026 Bado inawezekana na Luck Real Estate.

Wasiliana nasi uweke Order yako Mapema Fursa hii inawagusa wengi🔥🔥
=========
UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:
🕣Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI

🚌Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
⸻
WASILIANA NASI:
📞0745 200 984
📞0747 999 997

06/09/2026

05/09/2026
🚨VIPO SOKONI LEO MAHOMANYIKAAnza kumiliki na nusu ya Bei yaani 50% na inayobaki utakamilisha ndani ya Miezi mitatu tuu💯E...
04/09/2026

🚨VIPO SOKONI LEO MAHOMANYIKA

Anza kumiliki na nusu ya Bei yaani 50% na inayobaki utakamilisha ndani ya Miezi mitatu tuuđź’Ż

Eneo hili linakupa fursa nyingi za kiuwekezaji iwe ni kwaajili ya makazi au Biashara, kutokana na kuwa na Miundombinu ya kisasa pamoja na ukaribu wake na maeneo muhimu k**a Mji wa kiserikali

>>>Kumbuka Mahomanyika ni KM 20 tuu kutoka Mjini kati.
>>>Lakini pia ni KM 3 kufika Mji wa kiserikali Mtumba maafuru Magufuli City.
>>>Ni KM 2 mpaka unapo jengwa uwanja wa kimataifa wa MSALATO
>>>Viwanja vywa tatu kutoka inapo jengwa Barabara kuu ya mzunguko Dodoma yani Ring road
========
Viwanja vipo kuanzia SQM 600 mpaka SQM 1500📌

👏Kumbuka Unaweza kulipa kwa awamu kwa muda wa miezi 3 adi miezi 6
=========
UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:
🕣 Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI
🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
⸻
WASILIANA NASI:
📞0745 200 984
📞0747 999 997
📍 Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

Unatafuta kiwanja Jirani na Mjini kati?Njoo uwekeze Chidachi eneo hili linapakana na Michese lakini ni Jirani sana na il...
04/09/2026

Unatafuta kiwanja Jirani na Mjini kati?
Njoo uwekeze Chidachi eneo hili linapakana na Michese lakini ni Jirani sana na ilipo SGR Station.

KARIBU CHIDACHI WEST - BLOCK G
Plot Size:
>> SQM - 782 âś…
>> Ask Price đź’°
=============
Sifa za Chidachi
>>Km 7- kufika mjini kati
>>Jirani na SGR Station
>>Kumejengwa makazi ya kisasa
>> Ni rahisi kuingia na kutoka kwasababu ya Miuondombinu bora
>>Huduma za kijamii zipo za Uhakika 24/7
———
UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:
🕣Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 9:30 JIONI

🚌Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!
⸻
WASILIANA NASI:
📞0745 200 984
📞0747 999 997

Jumma Mubarak✨🕌
04/09/2026

Jumma Mubarak✨🕌

Address

P. O. BOX DODOMA 2258
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when massawej043 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to massawej043:

Shortcuts

Share