28/05/2026
๐ SOMO LA 4:
Tofauti kati ya HDD na SSD
๐พ HDD (Hard Disk Drive)
โ Bei nafuu
โ Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili
โ Inafaa kwa movies, music, documents na matumizi ya kawaida
Hasara yake:
โ Speed yake ni ndogo kidogo
โก SSD (Solid State Drive)
โ Speed kubwa sana
โ Computer kuwaka haraka
โ Programu kufunguka fasta
โ Inapunguza kuganda kwa computer
Inafaa kwa:
๐ฌ Editing
๐ง Studio
๐ผ Office nzito
๐ฎ Games
Na kazi zinazohitaji speed kubwa
๐ โSSD ni k**a kuongeza injini ya speed kwenye computer yako.โ
Mfano:
Computer yenye HDD inaweza kuwaka ndani ya dakika 1
Lakini yenye SSD inaweza kuwaka ndani ya sekunde 10โ20 tu ๐