Mwanza2020 Soap Industry Limited

Mwanza2020 Soap Industry Limited Mwanza2020 Soap Industry limited is a company which is based on manufacturing soap and detergents, c

26/09/2021

Usikose kuangalia leo kupitia TBC1...
Soap

Mwanza Soap "Mfalme wa usafi"...Kwa matumizi ya nyumbani,maofisini,hotelini na maeneo mengine tafadhali tumia sabuni cha...
11/09/2021

Mwanza Soap "Mfalme wa usafi"...
Kwa matumizi ya nyumbani,maofisini,hotelini na maeneo mengine tafadhali tumia sabuni chapa "Mwanza Soap" hautajutia kamwe.
Zinapatikana mikoa yote Tanzania...
Kwa mawasiliano;
WhatsApp no. 0757113117
Au tembelea tovuti yetu www.Mwanzasoap.co.tz

Kwa wanaohitaji kuwa mawakala wa sabuni zetu "Mwanza Soap" au pia wanaohitaji mzigo kwa bei ya kiwandani tunawakaribisha...
02/10/2020

Kwa wanaohitaji kuwa mawakala wa sabuni zetu "Mwanza Soap" au pia wanaohitaji mzigo kwa bei ya kiwandani tunawakaribisha! Unaweza fika kiwandani kwetu Buswelu,Busenga wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza au kwa mawasiliano zaidi+255753073030/0757113117.

Mfalme wa usafi yuko sokoni tayari 'Mwanza Soap' sabuni nzuri na salama kwa matumizi ya binadamu karibuni Sana!! Kwa maw...
02/10/2020

Mfalme wa usafi yuko sokoni tayari 'Mwanza Soap' sabuni nzuri na salama kwa matumizi ya binadamu karibuni Sana!! Kwa mawasiliano zaidi+255753073030/0757113117

17/08/2020
Kiwanda bora kinachotengeneza sabuni za vipande zilizo na ubora wa hali ya juu kuliko sabuni nyingine nchini Tanzania pi...
08/08/2020

Kiwanda bora kinachotengeneza sabuni za vipande zilizo na ubora wa hali ya juu kuliko sabuni nyingine nchini Tanzania pia kinatengeneza sabuni za maji. Njoo tufanye biashara wote na Mwanza 2020 Soap Industry Limited, tunajali wateja wetu, tunawasikiliza na kuwafadhili, karibuni sana huduma zetu ni nzuri mno.

02/07/2020

Karibuni Mwanza2020 Soap Industry Limited.

Wapendwa karibuni kwenye kikao cha wadau wa sabuni zetu, usafiri utakuwepo kuanzia eneo la Buswelu kuelekea mpaka kiwand...
02/07/2020

Wapendwa karibuni kwenye kikao cha wadau wa sabuni zetu, usafiri utakuwepo kuanzia eneo la Buswelu kuelekea mpaka kiwandani.

Pia kwa sabuni za kunawia mikono Mwanza 2020 Soap Industry Ltd. Zipo "Mwanza Soap 2020 Hand wash" with moisturizer and G...
19/04/2020

Pia kwa sabuni za kunawia mikono Mwanza 2020 Soap Industry Ltd. Zipo "Mwanza Soap 2020 Hand wash" with moisturizer and Gently cleanses. Kwa ujazo tofauti wahi sasa kwa jumla na rejareja. Tunapatikana Buswelu,Ilemela- Mwanza kwa mawasiliano zaidi 0753073030/0757113117

Sabuni bora chapa "Mwanza soap" sasa zinapatikana madukani kwa wakazi wa mkoa wa Mwanza na viunga vyake changamkia fursa...
19/04/2020

Sabuni bora chapa "Mwanza soap" sasa zinapatikana madukani kwa wakazi wa mkoa wa Mwanza na viunga vyake changamkia fursa upate sabuni yako sasa. Kwa matumizi ya kuogea,kufulia nguo,kuoshea vyombo n.k Kwa mawasiliano zaidi piga 0753073030/0757113117

Address

Ilemera
33201

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza2020 Soap Industry Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share