07/11/2022
https://chat.whatsapp.com/JVurezZ9drZ8CQw4NNT7XA
šLeo naomba tuzungumzie Faida za kutumia vitamin c face serum
šHusaidia kuzuia chunusi mpya na kukausha chunusi
šHuondoa madoa nakuipa ngozi nuru ya asili
šHuondoa makunyanzi
šHuzuia uso kuwa na makunyanzi
šHuifanya ngozi isizeeke kwa haraka
šHutibu ngozi ilioaribika na kipodozi kikali au jua
šHuizuia ngozi na miale ya jua
šHaichubui hii Ni kwaajili ya kuipa ngozi virutubisho tuu kwa hiyo Ni muhimu kutumika kwa watu wote wanaotumia vipodoz vikali na wasio tumia
Unaweza kuitumia yenyewe tuu au kuchanganyia katika lotion
š„NOTE: hiki nikipodozi ambacho hutakiwi kukikosa kwenye dressing table yako kwaajili ya afya ya ngozi yako
Bei reja reja 12000
Jumla kuanzia pc 10 7000
Tunatuma mzigo nchi nzima na nchi jirani kwa uaminifu wa hali ya juu kwa wakazi wa dar na tabora tunafanya delivery wasiliana nasi kwa namba 0768211288