Kahama moving shop

Kahama moving shop Karibu KAHAMA MOVING SHOP
0769311810/0629274092
LOTIONS AND CREAMS
MAKEUPS
HAIR CARE
PERFUMES
ACCSESORIES
TUNAPATIKANA KAHAMA NYASUBI KARIBUN SANA

MADAGASCAR CENTELLA AMPOULE.Am very excited that we have this product, hii product iko so hyped and I am glad we have it...
13/02/2024

MADAGASCAR CENTELLA AMPOULE.

Am very excited that we have this product, hii product iko so hyped and I am glad we have it.

Ampoule hii imetenegenezwa na pure centella asiatica extracts from madagascar.
Madagascar centella asiatica contains 7 times more soothing actives kuliko centella asiatica zingine.

Centella asiatica ni very famous kwa kucalm sensitive skin, ina healing properties as well, lakini pia inasaidia sana katika hydration.

Contains:
🤩Centella asiatica extract 100%

Hii ampoule kazi yake kubwa ni kusoothe, kucalm na kurestore ngozi pamoja na kuipa ngozi hydration.
Wale watu wenye sensitive skin, watu wanaopata wekundu (redness), k**a ngozi yako imeharibika na jua au vipodozi vikali hii serum itakusaidia sana.

SUITABLE FOR ALL SKIN TYPES

Inaipa ngozi glow vizuri

Inasaidia sana kucalm the skin

Ina strengthen skin barrier

Ina hydrate ngozi

Inafanya ngozi inakua very soft and smooth

Inasaidia kuheal chunusi (acne)

Anti aging

Inasaidia kueven skintone

Ujazo wake mills 100

Bei yake 70,000

Watsap/Call 0769311810



TUNAOATKANA KAHAMA UHINDIN JIRAN NA MGAHAWA WA ZANZBAR TEA

13/02/2024

Address

Kahama
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kahama moving shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kahama moving shop:

Share