Dawa Za Kilimo Na Matibabu Ya Mifugo

Dawa Za Kilimo Na Matibabu Ya Mifugo KARIBU TUKUSAIDIE KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOHUSIANA NA KILIMO NA MIFUGO

09/01/2024

KARIBU TUKUHUDUMIE VIUA GUGU MBALIMBALI

09/01/2024

TUNATIBU MIFUGO NA KUKUSAIDIA KUHAKIKISHA MIFUGO YAKO INANENEPA NA KUWA NA AFYA INAYOVUTIA

Karibu kwa mahitaji ya dawa zamifugo nakilimo pia mbolea zinapatilana
09/01/2024

Karibu kwa mahitaji ya dawa zamifugo nakilimo pia mbolea zinapatilana

 -Kutu Niukungu Unaofanya Vizur Katika Mzao Ya Nyanya ,, Vitunguu,, Matango Tikiti Na Nk Inauwezo Wa Kutibu Na Kukinga M...
28/05/2023

-Kutu
Niukungu Unaofanya Vizur Katika Mzao Ya Nyanya ,, Vitunguu,, Matango Tikiti Na Nk
Inauwezo Wa Kutibu Na Kukinga Madhala Ya Ukungu
Tumia Master kutu Kwaajili Ya Ustawi Bora Wa Zao Lako

Tunapozungumzia Kuhusu Dawa Za Kuuagugu Mashambani Nilazima Tujue Hivivitu Viwili    -SelectiveKwamaana Ya Kwamba Hizi D...
28/05/2023

Tunapozungumzia Kuhusu Dawa Za Kuuagugu Mashambani Nilazima Tujue Hivivitu Viwili

-Selective
Kwamaana Ya Kwamba Hizi Dawa Zimeganyika Katika Makundi Mawili Yaan Kuna Dawa Ambazo Zinauwa Mimea Yote Kwenye Shamba ,, Hizi Nimaalum Kwaajili Ya Kuaandaa Shamba ,, Yaan Haziachi Magugu Yoyote

Nakunahizi Ambazo Ni Selective Kwaajili Ya Parizi Yaan Zinaua Magugu Yaliyoorodheshwa Kwenye Dawa ,, Nakuacha Shamba Lako Katika Hali Ya Usafi

Leo Nakuonyesha Dawa Maalum Kwaajili Ya Kuandaashamba Yaan Inayoua Mimea Yote Na Kuacha Shamba Katika Hali Ya Usafi

Nidawa Maalum Kwaajili Ya Magugu Sumbufu Yaan Yasiosikia Dawa ,, Hii itaenda Kukausha Magugu Yote Kwa Mda Mfupi Almost Ndani Ya Siku3 Shamba linakua Safi

Weka Oda Yako Tukutumie Mbegu Ya   NYANYA
28/05/2023

Weka Oda Yako Tukutumie Mbegu Ya NYANYA

The Only Way Of Making Money Is👉Work
12/03/2023

The Only Way Of Making Money Is👉

Work

01/12/2022
CUTTER.  Nikiuadudu Kinachothibiti ,, KATAPILAWADUDU MAFUTA KANITANGAZEVIWAVIJESHI VAMIZIUTITIRI NA CHORACHORA Hupenya h...
02/09/2022

CUTTER. Nikiuadudu Kinachothibiti ,,
KATAPILA
WADUDU MAFUTA
KANITANGAZE
VIWAVIJESHI VAMIZI
UTITIRI NA
CHORACHORA

Hupenya halaka Kwenye Majan Nakusambaa Kwenye Maeneo Ya Mmea Inafanya Kazi Kwa Mguso Nakwanjia Ya Tumbo Badala Ya Kumezwa Na Na Wadudu Pia Inasaidia Kumaliza Tatizo La UTITIRI Mwekundu Wa Mmea

Address

Francelaurent33@gmail. Com
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dawa Za Kilimo Na Matibabu Ya Mifugo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dawa Za Kilimo Na Matibabu Ya Mifugo:

Shortcuts

Share