Bf suma ukombozi kwa watu wenye magonjwa sugu

Bf suma ukombozi kwa watu wenye magonjwa sugu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bf suma ukombozi kwa watu wenye magonjwa sugu, Shopping & retail, Kariakoo.

Wasiliana nami kwamatibabu mbalimbali ya mwili natoa huma kwa kila tatizo la homa iliyopo katika mwili wa binadamu karibu kuhudumiwa usiteseke nahoma suluhisho lipo nicheki nikuudumie .... 0767282371

No. 0767 282371 Kwamaelezo zaidi
02/02/2022

No. 0767 282371 Kwamaelezo zaidi

02/02/2022

Kahawa asili no.0767 282371 Kwamaelezo zaidi

02/02/2022

No. 0767 282371 kwamaelezo zaidi

VIDONDA VYA TUMBO -Aina, Chanzo, Dalili & TibaUTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBOVidonda vya tumbo ni tatizo ...
02/11/2021

VIDONDA VYA TUMBO -Aina, Chanzo, Dalili & Tiba

UTANGULIZI – UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, k**a ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo.

Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine k**a kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.

AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO

Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers)

Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa

2. Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu)

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO

Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni;

Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)

Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu k**a asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine)

Kuwa na mawazo mengi

Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi

Kunywa pombe na vinywaji vikali

Uvutaji wa sigara

Kuto kula mlo kwa mpangilio

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO

Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili k**a

Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa k**a ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula

Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo

Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa

Kichefuchefu na

Usikubali kuteseka na magonjwa sugu .... Tibu tatizo lako uwe huru 0676 282371 mwisho wa magonjwa sugu
17/09/2021

Usikubali kuteseka na magonjwa sugu .... Tibu tatizo lako uwe huru 0676 282371 mwisho wa magonjwa sugu

Kwanini uteseke na magonjwa sugu jipatie Tiba sahii ..... Chukua hatua usikubali kusumbuka 0676 282371 suluhisho ya mata...
17/09/2021

Kwanini uteseke na magonjwa sugu jipatie Tiba sahii ..... Chukua hatua usikubali kusumbuka 0676 282371 suluhisho ya matatizo yako

Komesho la hormone kwa wanawake  0767 282371 usikubari kuteseka
31/08/2021

Komesho la hormone kwa wanawake 0767 282371 usikubari kuteseka

Pata bidhaa Bora kwauitaji wa mtoto 0767-282371 Kwamawasiliano
27/06/2021

Pata bidhaa Bora kwauitaji wa mtoto 0767-282371
Kwamawasiliano

Kwa mawasiliano nipigie0767282371
14/06/2021

Kwa mawasiliano nipigie
0767282371

0767282371 jipatie tiba hasili kwa afya yako
14/03/2021

0767282371 jipatie tiba hasili kwa afya yako

Address

Kariakoo

Telephone

+255767282371

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bf suma ukombozi kwa watu wenye magonjwa sugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share