Salum kim

Salum kim A novalist who write in Universal language. total restoration
Mkono Shavuni Ukurasa huu wa Mc Pilipili uanendeshwa Pilipili Media House

25.12.2018 Dar es Salaam tulizindua kitabu chenye kichwa “Mtoto wa Nuru” kilichobeba taswira ya maisha halisi ya marehem...
25/12/2025

25.12.2018 Dar es Salaam tulizindua kitabu chenye kichwa “Mtoto wa Nuru” kilichobeba taswira ya maisha halisi ya marehemu Emmanuel Mathias alifahamika k**a Mc Pilipili enzi za uhai wake. Kitabu kili/kinasimulia mapito wanayopitia watoto uzao wa kwanza au lango la familia na kila familia ina mtoto wa aina hiyo.
Ikiwa pamoja na kumuombea kaka yetu Emma aendelee kupumzika kwa amani pia tunampango wa kukizambaza tena na kwa sasa hakitauzwa bali kitatolewa bure.

Pumzika kwa amani kaka.

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa za kifo cha Muasisi wa Uchekeshaji Wima/ Stand Up Comedy nchini Tanzania Emmanu...
16/11/2025

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa za kifo cha Muasisi wa Uchekeshaji Wima/ Stand Up Comedy nchini Tanzania Emmanuel Mathias maarufu k**a Mc Pilipili.

Pichani wa kwanza kutoka kulia ndiye Mc Pilipili.
Poleni wana Dodoma, poleni Watanzania.

Sisi ni wake na kwake tutarejea.

Ufafanuzi “Moral” “The heart of Tanzania”.RegardsSalum Kim
26/08/2025

Ufafanuzi “Moral” “The heart of Tanzania”.

Regards
Salum Kim

Kila hatua Dua…
23/08/2025

Kila hatua Dua…

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kifo cha aliyekuwa RC wa Kwanza wa DSM na kati ya wanachama 40 wa TANU na mm...
02/06/2025

Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya kifo cha aliyekuwa RC wa Kwanza wa DSM na kati ya wanachama 40 wa TANU na mmiliki wa kadi namba 27 ya CCM mzee wangu Alhaji Mustafa Songambele.

Mzee Songambele ama kisima cha maarifa k**a tulivyomuita, ameacha alama isiyofutika. Yeye ndiye aliondoa Kengere ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.

Yeye ndiye aliyemtafutia nyumba Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Yeye ndiye aliyeanzisha chama cha madereva jijini Dar es Salaam.

Yeye ndiye mmoja kati ya waasisi wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA).

Yeye ndiye aliyeshiriki mchakato wa kuitransform Simba Sport Club kutoka jina la kiingereza na kuwa jina la kiswahili.

Nilifahamiana naye akiwa na umri wa miaka 99 lakini alikuwa bado ni mwenye nguvu na fahamu. Mwenyezi Mungu ampe kauli thabiti.

Poleni Watanzania, poleni wanasongea.

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salum kim posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category