05/01/2023
Yaan uwa najiuliza sana hivi hawa wanaompa ubalozi wa bidhaa zao huyu ashura cheupe huwa wanafikiria upuuzi wake kweli maana ni mtu asie na heeshima wala hana adabu kazi yake kudhalilisha watu na kutukana watu hivi huwa wanafikiria hao anao watukana na kuwadhalilisha kuwa wana watu nyuma yao ambao niwanunuzi wa bidhaa zao hivi nyinyi mnae mpa ubalozi tuwachukulie kuwa nyinyi ni wahuni k**a yeye kuna msemo usemao ukimtukana mzazi wa mtu au mpenzi wa mtu nae atakutukania mzazi wako au mpenzi wako kitendo cha ashura cheupe k**a alivyo jiita mwenyewe kupost picha ya kocha mpya wa simba akiwa amevaa mkanda asio upenda yeye ashura cheupe na zipper kuoneka imefunguka ni ushenzi wa hali ya juu na ushamba uliopitiliza kitendo hicho kinawadharirisha walio mpa ubalozi kuoneka wao nao ni wehu k**a yeye pia kitendo hicho kimesababisha wanao mpa ugali nao kutukanwa maana ukimtukania mtu mtu wake nae atakutukania mtu wako nao wamepost suruali ya injinia aikiwa imefumka alie sababisha ni nani ni yeye ashura cheupe