IMMA Madishi

IMMA Madishi Imma Madishi ni kampuni inayo jihusisha na biashara ya vifaa mbali mbali vya Eletroniki na fenicha z

Imma Madishi inafanya biashara kwa kuzingatia utii, ustaarabu, utu na utashi wa kibiashara ili kusaidiana na jamii ya Mafinga na mkoa mzima wa Iringa na Mikoa jirani kupata huduma nzuri na kwa bei nafuu zaidi. Tunashughurika na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya Electronics kama, Redio (Music systems), Keyboards (vinanda), Simu, Pasi, TVs, Cables, Gererators, Pasi, Refigrators (Friji), Madishi na Ving

amuzi vyake na vingine vingi. Pia tunajihusisha na uuzaji na usambaji wa Fenicha za maofisini, shuleni, na majumbani. Tunatoa Huduma ya kufunga na kuset makabati (fenicha) mahali mteja alipo kwa gharama nafuu. Pia Imma Madishi inapokea Order maalum za wateja wanaotaka bidhaa tajwa kwa upekee wao kwa gharama nafuu. Tunapatikana Mafinga karibu na Jengo la CCM wilaya mkabala na uwanja wa Mashujaa.

Address

Mafinga
45

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IMMA Madishi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share