Simulizi Za John Njelekela

Simulizi Za John Njelekela Kurasa huu ni wa simulizi tu, nyote nawakalibisha

Kitabu cha Kifo kinazindua kitabu kipya ambacho nikitabu cha kwanza kabisa kuzinduliwa kupitia kitabu hichi cha Kifo...BORA NIFE, Bora nife nikitabu cha simulizi kilichotungwa na mtunzi nchini John simon njelekela. Kitabu hichi kinamzungumzia Baba mmoja kutokea pande za Mwanza, pia mwandishi wa kitabu hichi amejalibu kutoa maelezo mazuri ambayo yatamfanya msomaji kuelewa vizuri. 0757215595 Hizi ni namba za mwandishi wa kitabu hichi ambaye anapatikana maeneo ya Shinyanga, KATIKA kitabu ichi utapata kuona ni jinsi gani Mustafa alivyo fanyiwa kitendo cha ukatili na Binadamu wenye roho mbaya roho ya kishetani..Ndugu zangu na waomba mjalibu warau kukifatilia kitabu hicho ilimuweze kujifunza katika maisha ya kila siku...

Address

Maswa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simulizi Za John Njelekela posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category