20/07/2025
~~📍 Je, Unapata Hedhi Mabonge Mabonge ya Damu?
Hii inaweza kuwa dalili ya tatizo la kiafya linalohitaji uangalizi!
🔴 Sababu za Hedhi Mabonge Mabonge:
👉 Mabadiliko ya homoni (Estrogen & Progesterone)
👉 Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids)
👉 Endometriosis
👉 Matatizo ya damu kuganda
👉 Kujifungua karibuni au kuharibika kwa mimba
⚠️ Madhara Yanayoweza Kutokea:
👉 Kupoteza damu nyingi sana
👉 Maumivu makali wakati wa hedhi
👉 Kukosa hedhi ya kawaida
👉Upungufu wa damu (anemia)
👉 Matatizo ya uzazi baadaye
✅ Suluhisho ni nini? 👉 Fanya uchunguzi wa kitaalamu
👉 Tumia virutubisho sahihi kusaidia homoni zako
👉 Pata ushauri wa kiafya mapema
📞 Tupigie kwa ushauri na bidhaa za kusaidia afya yako ya uzazi:
📲 +255(0)781648619