rommy247

rommy247 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from rommy247, Shopping & retail, Morogoro.

28/02/2026

Mwalimu Charity Akitanda, pamoja na kucheza na chaki alitafuta WHY yake....
WHY yake ilianza pale mama yake alipokua mgonjwa na ameshazunguka hospitali kubwa na maendeleo ni machache...
Alianza kumtibia mama, mama akiwa anatengemaaa mwisho wa mwezi wa CHARITY ilikua ni furaha ya kuingiziwa BONUS CHECK ( ni mshiko wa ziada hata k**a unatumia bidhaa hufanyi biashara)

Alipopona mama, na CHARITY akaamua aanze biashsra serious. Kwa muda wa ziada alifanya biashara hii huku akiendelea na UALIMU

FAIDA ALIZOPATA NI 3 katika biashara hii...
1. Faida ya mauzo kila alipouza bidhaa
2. Fauda ya BONUS CHECK ( pesa mbali na mauzo) hii huingia kila mwezi
3. Faida ya INCENTIVE ( motisha) k**a hapo amesafiri akiwa amelipiwa kila kiti k**a kumpongeza kwa kazi nzuri ya biashara yake....
Kuna motisha ya pesa ya VOCHA, PESA n.k
Wewe, leo kwa muda wa ziada unafanya nini na Je unabiashsrs inayokulipa faida mara 3

K**a, unatamani kujenga kipato chako kwa muda wa ziada bila kuacha unachofanya tuma ujumbe 0678-992566
Na whatsapp 0625 939925

Auson Audax, ni kiongozi ambae nilimuona mara nyingi akifundisha katika mikutano mingi ila juzi nilipata nafasi ya kumsi...
27/07/2024

Auson Audax, ni kiongozi ambae nilimuona mara nyingi akifundisha katika mikutano mingi ila juzi nilipata nafasi ya kumsikia kuanzia mwanzo....

Alifundisha ya kuwa alipenda biashara hii kwasababu ya kusafiri tu na akaanza kuifanya seriously na mpaka sasa amefanikiwa ndoto yake ya kusafiri akiwa amesafiri destination zaidi ya 30....

Alipotimiza hii akaamua kuanza kufuatilia ndoto yake nyingine, alikua ni mtu anayependa magari na alipamba mno akaweza kupata gari yake ya ndoto AUDI 7 na anaelekea for more....

Hizo ni badhii ya ndoro alizofanikisha ila kikubwa ni jinsi alivyoamini atazifikia na akapambana kupitia fursa hii ya biashara aliyoipata na kuielewa

Aliweza sema neno moja pia; "HAKUNA HATA SIKU MOJA FILIMBI ITAPIGWA, UANZE KUFURAHIA MAISHA ILA WEKA KUSUDI LA KUFURAHIA MAISHA YAKO"

Natumaini umejifunza kitu hapaaa

Kwanini mkulima atumie super gro shambani kwakee...Super gro1. Inakusaidia kupunguza gharama ya pemebejeo shambani kwako...
22/04/2024

Kwanini mkulima atumie super gro shambani kwakee...
Super gro
1. Inakusaidia kupunguza gharama ya pemebejeo shambani kwako mfn shambani unachukua mifuko 50 ya mbolea ukitumia super gro utachukua mifuko 25 na lita 5 ya super gro ambayo hutumika kwenye heka 15 itacover gharama ya mifuko mingine 25
2. Iko katika mfumo wa kimiminika na utumiaji ni mdogo ambapo solo la lita 16 utachanganya mls 16 za super gro na lita 16 ya maji
3.inatabia ya sticker hivyo unapoitumia na dawa za kuua wadudu, dawa hunata kwa mmea na sio kutiririka chini
4.hutunza dawa kwa mmea kwa muda, hata mvua inyeshapo haitoweza kuondoka kirahisi hivyo kupunguza matumizi ya dawa mara kwa mara
5. Huongeza uzito wa mazao, ubora wa mazazo, huzalisha mara tatu zaidi
Unasubiri nini mkulima wahi mapema upate mbolea yako

03/11/2023

Vijana wengi wanahaingaika kujenga kesho yao au kutengeneza pesa zao....
Mie natafuta vijana 10 tu walioserious ambao wangependa kujifunza namna ya kutengeneza pesa zaidi na kujenga kesho yako comment kwa namba yoyote unayoipenda

Fahamu kisukari1.inafahamika kisukari ni ugonjwa unaotokana na kuwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu2. Pia inaf...
12/04/2023

Fahamu kisukari
1.inafahamika kisukari ni ugonjwa unaotokana na kuwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu
2. Pia inafahamika kuwa kuna aina mbili za kisukari, type 2 na type 1.
3. Ila ifahamike kuna aina nyingine ambayo bado mtu hajapata kisukari ila dalili zake zinaonekana katika mwili wako.
4. Kisukari ni ugonjwa unaoathiri watu wa lika zote, watoto, vijana na hasa wazee
5. Kwanini umri zote, wengine ni kwa kurithi na wengine kwa aina ya maisha na vyakula tunavyopenda kutumia.....
Kaa nasi upate kujua zaidi kuhusiana na kisukari na tiba lishe itakayosaidia mwili wako kufanya kazi katika ya ufyonzaji, matumizi, na kuvunjwa kwa sukari ili ilibaki katika mwili wako ikikuathiri....

Je, unasumbuliwa na uso wenye shida ya machunusi, mapele na makovu yatokanayo na chunusi au maendeleo. Kiboko ya hivyo n...
22/02/2023

Je, unasumbuliwa na uso wenye shida ya machunusi, mapele na makovu yatokanayo na chunusi au maendeleo. Kiboko ya hivyo ni aloevera gel, care na tre-en-en piga 0625939925 upate kutibia shida ya uso wako

Wengi wanasumbuliwa na kisukari, lakini kuna kiboko ya kisukari hii ni lishe iitwayo botanical balance kwaajili ya watu ...
09/02/2023

Wengi wanasumbuliwa na kisukari, lakini kuna kiboko ya kisukari hii ni lishe iitwayo botanical balance kwaajili ya watu wote wenye shida ya kisukari piga 0625939925

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when rommy247 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share