11/04/2023
Karibu kutazama wimbo wetu mpya wa pasaka zilipendwa usisahau Ku coment na subscribe Ku like na kusheaa ilikazi ya Bwana izidi kusonga mbeleee nawewe utakua umeinjilisha
Video ya Wimbo wa Pasaka uloimbwa na Kwaya ya Shalom - Anglican Church Tanga Mjini. Karibu na Ubarikiwe na bwana..........