Lexie Updates

Lexie Updates Music and business, and all updates from the world try it

15/09/2026
Irene Mallya, mwenye umri wa miaka 24, amefariki dunia mkoani Arusha kufuatia tukio linalodaiwa kutokea nje ya eneo la s...
15/09/2026

Irene Mallya, mwenye umri wa miaka 24, amefariki dunia mkoani Arusha kufuatia tukio linalodaiwa kutokea nje ya eneo la starehe wakati akiwa pamoja na marafiki zake.

Kwa mujibu wa taarifa zinazozunguka, Irene alikuwa ametoka na marafiki zake kwenda kwenye eneo la starehe, ambapo baadaye inadaiwa marafiki zake waligundua kuwa hawamuoni.

Baada ya kumtafuta, inadaiwa walimkuta akiwa amelala nje ya eneo hilo akiwa amejeruhiwa na kutokwa na damu. Alikimbizwa hospitalini kwa ajili ya matibabu, hata hivyo hakufanikiwa kupona na alifariki dunia.

Aidha, kumekuwa na madai kwamba kabla ya tukio hilo Irene alikuwa ameingia kwenye ugomvi na mpenzi wake, lakini taarifa hiyo bado haijathibitishwa rasmi.

Kifo cha Irene kimeacha huzuni kubwa, huku akiwa amefariki akiwa na umri wa miaka 24 pekee.

Pumzika kwa amani Irene. πŸ•ŠοΈπŸ’”

πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°πƒπ€π˜πŸ†š Geita GoldπŸ—“ 15 Septemba 2026⏱️ Saa 01:00 Usiku🏟 KMC ComplexπŸ†
15/09/2026

πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°πƒπ€π˜

πŸ†š Geita Gold
πŸ—“ 15 Septemba 2026
⏱️ Saa 01:00 Usiku
🏟 KMC Complex
πŸ†


NEXTπŸ”°UPπŸ†š Geita GoldπŸ—“ 15 Septemba 2026⏱️ Saa 01:00 Usiku🏟 KMC ComplexπŸ†
14/09/2026

NEXTπŸ”°UP
πŸ†š Geita Gold
πŸ—“ 15 Septemba 2026
⏱️ Saa 01:00 Usiku
🏟 KMC Complex
πŸ†

Depu kwa mguu wake aipeleka Petro de Luanda hatua inayofuata ya CAFCL  baada ya kuwatoa UF Songo lwa aggregate ya 3-2 FT...
13/09/2026

Depu kwa mguu wake aipeleka Petro de Luanda hatua inayofuata ya CAFCL baada ya kuwatoa UF Songo lwa aggregate ya 3-2

FT: Petro de Luanda 2-2 UD Songo
⚽️ Tiago Azulao 16'
⚽️ Jonathan Toro 59'
⚽️ Fernando Macaime 53'
⚽️ Laurindo Depu 72'

NB: Depu pia alifunga bao pekee la mchezo kwenye mechi ya awali Petro ilishinda 1-0 πŸ”₯

Mbona k**a anatishia na kukitaka kiatu cha ufungaji bora??

Follow Kijiweni24 Tv kwa taarifa za kimichezo

1980s
12/09/2026

1980s

πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°DAYπŸ†š Gaborone United πŸ—“ 12 Sept 2026 ⏱️ K.O: 7:00PM 🏟Azam Complex πŸ†
12/09/2026

πŒπ€π“π‚π‡πŸ”°DAY

πŸ†š Gaborone United
πŸ—“ 12 Sept 2026
⏱️ K.O: 7:00PM
🏟Azam Complex
πŸ†


Address

Mvomero
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lexie Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share