baba wa wili phone shop

baba wa wili phone shop business

nyumba v3 sebule jiko umeme maji unachota kwa jilani  ina pangishwa bei laki na nusu ipo kishili mwanza ina jitegemea pi...
12/09/2024

nyumba v3 sebule jiko umeme maji unachota kwa jilani ina pangishwa bei laki na nusu ipo kishili mwanza ina jitegemea pia kuna banda la kufugia kuku kubwa sana k**a ww ni mfungaji utainjoi haina udalali malipo miezi 4 nakuendelea kalibu sana

11/09/2024

Nchini Africa kusini mtoto wa miaka 11 ajiua k**a zawadi ya sikuya kuzaliwa kwa mama yake huku akimwachia barua iliyoandikwa leo ni siku yako muhimu mama nataka uwe na furaha milele, kila siku ulikuwa ukinambia furaha yako ilitoweka tangu siku uliponizaa mimi, ukanambia baba yangu piah alikuacha kwa sababu yangu mimi. Kwahiyo leo nimeamua kubadilisha hayo yote nataka uwe na furaha na uishi k**a sikuwahi kuzaliwa. Ulinambia hukuwahi kunipenda tangu unizae lakini mimi nilikupenda na kukuona k**a mama bora kwangu duniani. natumai siku moja utanikumbuka na utanifikiria, natumai mbinguni utanishika, utanikumbatia na kunibusu. Zawadi bora ambayo napaswa kukupatia ni kuondoka maishani mwako k**a ulivyotamani usingenizaa. Nakupenda saaana mama. Heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Na Kelvin JN

wapedwa nahama mkoa jaman nipeni pesa ya vitu vya ndan nauza vyote njoo uchukue unachotaka bei maelewano tu sm 068612793...
03/09/2024

wapedwa nahama mkoa jaman nipeni pesa ya vitu vya ndan nauza vyote njoo uchukue unachotaka bei maelewano tu sm 0686127935 vipo mwanza mtaa wa mahina kati kalibu na neshino
pia na nyumba naipangisha ina nyumba v2 vyote master sebule dining room ndan ya fens maji umeme vyote vipo bei ya kupanga ni laki na nusu kwa mwezi pia kuna nyingine ipo kishili mwanza vyumba vi3 sebule jiko umeme upo bei laki na nusu pia kalibun sana

hapa kuna nyumba mbili tofauti maeneo tofauti 1 ipo kishili mwanza vyumba vi3 sebule jiko umeme maji ya kisima pia kuna ...
23/08/2024

hapa kuna nyumba mbili tofauti maeneo tofauti 1 ipo kishili mwanza vyumba vi3 sebule jiko umeme maji ya kisima pia kuna banda la kufugia kuku kubwa sana ina pangishwa bei laki mbili kwa mwezi
namba 2 vyumba ipo mahina kati kalibu na neshino mtaa wa obama ina nyumba v2 vyote master na sebule na dining room ndan ya geti umeme upo maji yapo bei laki 250000 kwa wenzi mhitaji piga sm tuzungumze 0686127935 hii ya mahina kati njoo na begi lako la nguo tu maana vitanda magodolo makochi tivi meza ya chakula gesi na 2preti jikolake vyote unatumia malipo kuanzia miezi 6 na kuendelea kalibuni sana

nauza bufa ya kwenye gari mzic wakufa mtu bei 250000 tu nipo mwanza machinjioni call me 0686 127 935
14/07/2023

nauza bufa ya kwenye gari mzic wakufa mtu bei 250000 tu nipo mwanza machinjioni call me 0686 127 935

hello nauza  laptop  bei 250000 tu mashine  ya kuoshea magar  bei laki 6 tu  mali haina udalali  njoo nyumban  mahina ka...
24/03/2023

hello nauza laptop bei 250000 tu mashine ya kuoshea magar bei laki 6 tu mali haina udalali njoo nyumban mahina kati mwanza au nipigie 0686127935

Address

Machinjioni Mwanza
Mwanza
400257

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when baba wa wili phone shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share