19/07/2018
VIDONDA VYA TUMBO
Vidonda vya tumbo ni uharibifu wa kuta za ndani ya tumbo,kwa maneno mengine-ni Majeraha ndani ya tumbo.
Sell ndani ya mwili lazima zibaki katika kiasi kidogo cha *alkalini*kutoka 7.2 mpaka 7.4,wakati 7.0 ni ya kati au husemwa sufuri katika kipimo cha *HP*yaani *Potential Hydrogen*chini ya 7.0 ni Asidi na juu ya 7.0 ni Alkalini
Kila mtu anapaswa kula zaidi vyakula vyenyw alkarini,yaani matunda na mboga za majani na kunywa vinywaji vyenye Asidi chache na ikibidi basi atumie vinywaji vyenye alkalini nyingi k**a juisi ya limau,chungwa,zabibu na maji halisi
Kwa maneno Mengine hali ya Uasidi ndani ya mwili ndiyo hupelekea kusikia maumivu yatokanayo na Vidonda nya tumbo
Kutokana na tafiti za hivi karibuni,Takribani mtu mmoja katika kila watu kumi anasumbuliwa na vidonda vya tumbo
*DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO*
Dalili zitokakufanya ujihisi unavidonda vya tumbo ni pamoja na
1-kuchokachoka sana bila sababu maalum
2-kuuma mgongo na kiuno
3*-Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
4-kizunguzungu
5-Kukosa usingizi
6-Usingizi wa mara kwa mara
7-Maumivu makali sehemu za mwili,kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali
8-kichefuchefu
9-Tumbo kujaa gesi
10-maumivu makali sehemu kilipo kidonda
11-Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatikakatika k**a cha mbuzi
12-kukosa hamu ya kula
13 -kula kupita kiasi
14-kusahau sahau na hasira
Maumivu hayo wakati mwingine hutokea mgongoni na kuchoma k**a sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali.
Kwa kweli ni vigumu kuelezea maumivu ayapatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa mwenye vidonda sugu,kwani hakuna hata kiungo kimoja kinachokuambia ni kizima.
*SABABU ZINAZOSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO*
Linapokuja suala la nini sababu ya vidonda vya tumbo unaweza ukapata stori nyingi bila idadi,lakini kwa kifupi kabisa..
Vidonda vya tumbo ni ishara za mwili kupungukiwa maji,na ni matokeo ya asidi kuzidi mwilini kuliko alkalini.
1- *Asidi iliyozidi mwilini*Unapokaribia kula chakula chochote au ukiwaza kutaka kula au ukiona tu msosi kwa macho,TUMBONI MWAKO HUZARISHWA Haidrokloriki asidi ili kuandaa na kuusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.Kadri unavyoendelea kuishi Haidrokloriki Asidi hiyo huenda kutoboa kuta za Tumbo na Hatimaye taratibu baadae hutusababishia Vindonda Vya Tumbo.
2- *Mfadhaiko wa Akili utokanao na shida za kimaisha*
Ni moja ya vipengere vikuu vinavyosababisha vidonda vya tumbo
*Mafadhaiko huongeza utiririkaji wa Asidi ndani ya tumbo.Hii asidi ya ziada ambayo Hutiririka ndani ya tumbo k**a matokeo ya mfadhaiko na hakuna chakula cha kufanyia kazi au kumeng'enywa Humomonyoa kuta za tumbo hivyo kusababisha vidonda vya tumbo
-Utafiti umefanyika katika miaka ya hivi karibuni umeonyesha kuwa akili hutumia sehemu kubwa ya nguvu za mwili.Baadhi ya madaktari wamesema mfadhaiko huchangia sana katika *kutokea kwa magonjwa mengi mwilini zaidi ya 50.*
_*Dalili za mtu mwenye mfadhaiko*_
-kujisikia husuni sana kiwango cha kutokuwa na matumaini yoyote
-kupoteza kabisa uwezo wa akili kufurahi
-kupoteza hamu ya chakula
-kukosa usingizi
-wasiwasi unaosababisha hali ya kutotulia kwa ujumla
-kupoteza kumbukumbu au hali ya kusahausahau na kushindwa kuamua
-kughadhibishwa na vitu vidogo,yaani mtu kitu kidogo ti anachukia
-kujiona huna thamani na kujitenga na marafiki na ndugu
3- *Vinywaji na vyakula vyenye kaffeina na Asidi nyingi*
Vinywaji vyenye caffeina na asidi nyingi k**a vile chai ya rangi,kahawa,soya sauce,mayonnaise,chakula jamii ya mkate,Samaki wa kwenye makopo,pombe,soda na juisi za viwandani.Pia huchangia kwa kiasi kikubwa katika kutokea kwa vidonda vya tumbo.
Na zingine k**a *Ulaji wa vyakula vya kusisimua*k**a vile ketchup,chill sauce,achali,pilipili na vingine vya jamii hii huchangia kwa kiwango fulani kudhuru neva za tumbo na havitakiwi kuliwa hasa kwa watu wenye vidonda vya tumbo.
EPUKA KUSUMBUKA NA VIDONDA VYA TUMBO package hii itakufanya Uishi maisha yenye furaha,Usikate tamaa na tatizo hili.
Ili kupata bidhaa hizi na nyingine nyingi kutoka forever living wasiliana nami kwa namba
+255678-945288
+255746589685