25/09/2024
👉Mteja wetu ameonja mchele, ame-reply hapa(Ona kwenye picha)
👉Mchele aina ya katani sifa yake kubwa ni mtamu, unanukia vizuri.
Umeandaliwa vizuri hauna mchanga wala chenga.
👉Ongeza furaha ya Familia yako kwa chakula kizuri.
Tupigie Tukuhudumie popote ulipo, Tunapatikana Shinyanga jirani na Jambo branch ya Nguzonane kwenye ghorofa.
Simu; +255624055216/+255757897487
Au bonyeza WhatsApp hapo tuchati iwapo unahitaji mchele.
TUNAKUJALI.