Singida Vitu Nunua Uza

Singida Vitu Nunua Uza karibu wote

05/03/2024

😁fainal back

Msaada kwa anaeuza mafuta haya ama anafaham yanapouzwa kwa singida atusaidie mtagg au screenshot mtumie wauza vipodoz tu...
25/09/2022

Msaada kwa anaeuza mafuta haya ama anafaham yanapouzwa kwa singida atusaidie mtagg au screenshot mtumie wauza vipodoz tuungishane please

Mafundi wa saloon singida mjin K**a Kuna mtu anawez kusuka hizo nywele hapo pichan na yupo singida mjin bas nichek inbox...
12/07/2022

Mafundi wa saloon singida mjin K**a Kuna mtu anawez kusuka hizo nywele hapo pichan na yupo singida mjin bas nichek inbox ama acha no kwa comment hapo chin

Cm aina ya l phone 6+ gb 64 ipo vizur kipengele creak kidgo hapo pemben K**a unavyoiona kwnye picha ipo singida mjin Bei...
07/07/2022

Cm aina ya l phone 6+ gb 64 ipo vizur kipengele creak kidgo hapo pemben K**a unavyoiona kwnye picha ipo singida mjin Bei 250 tu mpigie muhusika kwa maelezo Zaid +255 765 599 679

06/07/2022

K**a una uhitaj wa viwanja maeneo ya giner/unyakumi Singida mjin Kuna viwanja viwili vipo maeneo hayo mpigie muhusika kwa no 0728778933 muelewane vyote size ni 40*40 na vimepakana unawez nnua vyote K**a mtaelewana pia vingine vipo mizan karibu kabisa na barabara size 40*40 Bei ni maelewano ongea na muhusika moja kwa moja hakuna udalali 0728778933

Anatafuta mchumba kwa mawasiliano Zaid njoo inbox nikupatie no yake
05/07/2022

Anatafuta mchumba kwa mawasiliano Zaid njoo inbox nikupatie no yake

Bajaj inauzwa ipo singida mjin ni nzima Haina kipengele ni kuwasha na kuingia barabarn mchek muhusika moja kwa moja kwa ...
05/07/2022

Bajaj inauzwa ipo singida mjin ni nzima Haina kipengele ni kuwasha na kuingia barabarn mchek muhusika moja kwa moja kwa no hii 0746580627

04/07/2022

K**a Kuna mtu anauza biashara yake mfano duka ama ofisi yyote na ipo singida mjin anichek inbox tuzungumze ama nipigie kwa no 0745111658

Address

Stand Ya Zaman Singida
Singida

Telephone

+255623615153

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Singida Vitu Nunua Uza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category