nolanrapael0

nolanrapael0 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from nolanrapael0, Shopping & retail, Tabata.

07/08/2026

❤️

04/08/2026

Mtambo wa kugandisha barafu za mifuko kwa haraka zaidi
Na huu ni mrejesho wa mteja wetu kutoka tanga
Anagandisha barafu kuwauzia wauza samaki ,wauzaji vinywaji kupooza ,soda n.k
Mashine zipo za ukubwa tofauti kuanzia liter 50 mpaka liter 500 inagandisha kwa saa 12 tuu
TAIFOCUS COMPANY 🇹🇿
BEI ZA MASHINE BARAFU ZA MIFUKO
~Lita 50 saa 12 Lita 100 Kwa siku TSH 1,976,000
~Lita 75 saa 12 Lita 150 Kwa siku TSH 2,265,000
~Lita 100 saa 12 lita 200 kwa siku TSH 2,685,000
~Lita 150 saa 12 lita 300 kwa siku TSH 3,585,000
~Lita 200 saa 12 lita 400 kwa siku TSH 4,585,000
~Lita 300 saa 12 lita 600 kwa siku TSH 6,625,000
~Lita 400 saa 12 lita 800 kwa siku TSH 8,225,000
Mashine zetu zina warranty ya mwaka mmoja Tunapatikana TABATA shule Dar es Salaam
https://wa.me/c/255688769751

01/08/2026

biashara za miamia ni biashara nzuri snaa kwani
hazina mtaji mkubwa snaa na zinanunulika sanaa
Tuone sehemu unazoweza kuuza biashara
hii
1.shuleni
2. sokoni
3.minadani
4. mtaani
5. kwenye mikutano
6.nyumbani
Namna ya kufanya biashara hii kwa urahisi
1. Unaweza kuuza jumla kwa kuwapa watu wakauze nawao wapate
faida
2. Unaweza kuuza mwenyewe sehemu
tajwa hapo juu
3.unaweza kuajiri watu wa kuuza na
ukawalipa kwa makubaliano yenu
4. Unaweza kuwapa watu wakauze na uwalipe kwa asilimia ya mauzo
Yao
5. Unaweza kuwapa watu kwa Mali kauli wakauze alafu jioni walete
mauzo na uwalipe kwa bei ya jumla
6. Unaweza zalisha mzigo ukamjazia mteja
friza lake nyumbani kwake na akimaliza mzigo akulipe pesa NB.zingatia kununua mashine bora zenye uwezo mzuri wa kugandisha kwa haraka zaidi kutoka
0688769751 call
❤️

01/08/2026

Karibu tai focus company sasa ujipatie incubator boraa kabisa zenye ufanisi mzuri na utendaji madhubuti 🔥🔥🔥
Zipo Kuanzia mayai 88 mpaka mayai 5280
Zinazotumia
SOLAR NA GAS
UMEME NA GAS
UMEME KAWAIDA

TAI EGG INCUBATOR

30/07/2026

Mashine imara kwa ajali ya kugandisha barafu kwa haraka zaidi Zinapatikana TAI EGG INCUBATOR TAIFOCUS ICE BLOCK MAKING MACHINE TAIFOCUS CHOCK STICK MACHINE
Njooo sasa ujipatie na wewe ya kwako

29/07/2026

On testing mitambo ya kugandisha barafu zikifanyiwa testing kabla ya kwenda kwa mteja wetu Tanga
Kuelekea Msimu huu wa kiangazi barafu zinakuwa deal sana zitahitajika kwa wingi #

28/07/2026

24/07/2026



Kazi inaendelea ma enginer wakiwa jikoni kutoa vitu VIlivyo boraa kabisa kutoka TAI FOCUS COMPANY 🎉
TAI EGG INCUBATOR TAIFOCUS CHOCK STICK MACHINE
TAIFOCUS ICE BLOCK MAKING MACHINE

22/07/2026

Address

Tabata

Telephone

+255688769751

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when nolanrapael0 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to nolanrapael0:

Shortcuts

Share