Wauzaji wa Mbao Ngumu pamoja na Fenitures Zanzibar.

Call Directions Contact the business

Wauzaji wa Mbao Ngumu pamoja na Fenitures Zanzibar. Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Mbuzi

Mzigo mpya umeingia Mvule, ni mzuri kwa ferniture za kitanda, kabati, shokesi, milango, Madirisha and so on. 2×8... kari...
03/02/2023

Mzigo mpya umeingia Mvule, ni mzuri kwa ferniture za kitanda, kabati, shokesi, milango, Madirisha and so on. 2×8... karibu zanzibar

Mbao za mvule.... foot 8... nchi 3...Welcome...Weka order ya milango pamoja na fremu za mkongo, mninga, mvule na mpanga ...
03/02/2022

Mbao za mvule.... foot 8... nchi 3...
Welcome...
Weka order ya milango pamoja na fremu za mkongo, mninga, mvule na mpanga panga.

03/02/2022

Awe na uwezo wa kutengeneza vitanda na makabati na kufanya decoration za vitanda na makabati.
Awe na uwezo wa kutengeneza fremu za milango na madirisha.
Awe na uwezo wa kutengeneza milango designe tofauti tofauti.
Awe na uwezo wa kutumia machine za kisasa.
Awe muwaminifu katika kazi.
Awe na uwezo wa kuongea na wateja.
Awe na uzoefu 4 years

Nyumba inauzwa KIWALANIVyumba vinne.Master 3Bublic toilet na bafuSebule, dinning room.Jiko la ndani na jiko la nje.Nyumb...
16/10/2021

Nyumba inauzwa KIWALANI

Vyumba vinne.
Master 3
Bublic toilet na bafu
Sebule, dinning room.
Jiko la ndani na jiko la nje.
Nyumba ina fence
Nje ya fence kuna fremu tatu.
Mbele kuna bara bara kubwa ya magar.

Document zote zipoo.

Kwa mawasiliano simu
0776772251
0659707017

NYUMBA INAUZWA KIWALANI.Nyumba ina vyumba vinne.Vyumba vitatu Master.Publi toilet na Bafu.Nyumba ina store na jiko la nd...
16/10/2021

NYUMBA INAUZWA KIWALANI.
Nyumba ina vyumba vinne.
Vyumba vitatu Master.
Publi toilet na Bafu.
Nyumba ina store na jiko la ndani.
Pia Jiko la nje.
Nyumba ina Fence na sehemu ya kupack gari.
Kwa nje nyumba ina fremu tatu za maduka.
Mbele ya nyumba kuna Bara bara kubwa ya gari.

Nyumba ina hati.
Kwa mawasiliano
0776772251



Address

Tanga

Telephone

+255776772251

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wauzaji wa Mbao Ngumu pamoja na Fenitures Zanzibar. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wauzaji wa Mbao Ngumu pamoja na Fenitures Zanzibar.:

Shortcuts

Share