28/02/2025
BALANCE NIACINAMIDE SERUM 15% strength niacinamide ✍️Kiungo hiki kina kazi kubwa kwenye ngozi k**a punguza athari za uharibifu wa mazingira, kaza ngozi, kipunguza kwa kuonekana pores iliyopanuliwa, pambana na ishara za kuzeeka mapema(Antiaging),na uboresha ngozi yako
🌺Ni serum inayosaidia sana kuondoa madoa usoni yaliyosababishwa na chunusi.
🌺Inarudisha muonekano nzuri wa ngozi na kuifanya iwe very glowing n healthy.
🌺Inasaidia kukausha chunusi pia
🌺All skin Type. Elfu 45000