Dene Agro Farms

Dene Agro Farms Paddy/Rice, Sugar beans and Avocado producers and traders of all kind of cereals

Kwa mahitaji ya nafaka aina zote Jumla na rejareja. Wasiliana nasi kwa namba zetu.📞 0689 880 102      0629 099283Tunapat...
04/15/2023

Kwa mahitaji ya nafaka aina zote Jumla na rejareja.
Wasiliana nasi kwa namba zetu.
📞 0689 880 102
0629 099283
Tunapatikana Buza, Dar Es Salaam

Kwa msimu huu wa masika wahi ujipatie kwa ajili ya mtoto wako. Tupo Buza AbiolaSimu 0629099283
01/24/2023

Kwa msimu huu wa masika wahi ujipatie kwa ajili ya mtoto wako. Tupo Buza Abiola
Simu 0629099283

Makoti ya mvua kwa ajili ya watoto kwa msimu huu wa masika. Utayapata kwetu kwa bei nafuu. Wahi na ujipatie koti kwa aji...
01/24/2023

Makoti ya mvua kwa ajili ya watoto kwa msimu huu wa masika. Utayapata kwetu kwa bei nafuu. Wahi na ujipatie koti kwa ajili ya mtoto wako. Tupo Buza kwa Abiola
0629099283

Makoti ya mvua. Yana material ambayo ukinyeshewa na mvua hautaloana. Haya eateja wetu karibu, msimu wa mvua ndio unakari...
01/24/2023

Makoti ya mvua. Yana material ambayo ukinyeshewa na mvua hautaloana. Haya eateja wetu karibu, msimu wa mvua ndio unakaribia. Karibuni mpate makoti yenye ubora kwa bei nafuu. Yapo design tofauti wasiliana nasi ili kujua bei kutokana na aina ya koti
0629099283

Welding machine yenye ubora na nguvu inapatikana kwa bei ya tsh 390,000/= tuKwa bidhaa zingine tutembelee kwenye kurasa ...
01/07/2023

Welding machine yenye ubora na nguvu inapatikana kwa bei ya tsh 390,000/= tu
Kwa bidhaa zingine tutembelee kwenye kurasa zetu za facebook, instagram na twitter

09/18/2022

Serving our customers with agro food products and farm equipments of high quality and reliable services

Address

Buza Abiola
Hollis, NY
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dene Agro Farms posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category